Nimefuatilia comments zote za humu kupitia mada iliyowekwa nimebaini Mbasha anapata umaarufu asiostahili Sijui kwakua wengi wanamwona He looks so innocent ndo wanampaisha sana au aliomba huruma Ya jamii ndo Maana kila mtu anasema Mbasha, Mbasha! Sielewi ila nahisi watu wanajazba na hawajui zimetokana na nini. Kikubwa Gwajima anakesi ambayo kama Pengo ndie alieshitaki jambo hili polisi kesi ipelekwe mahakamani na Sheria ichukue mkondo wake.
Na kama polisi wameamua kumhoji bila kuwekewa kuwapo kwa mshtaki Basi hapo kunashida ambayo mimi na wewe hatuwezi kuwa na majibu sahihi na kwakua hatuna majibu sahihi hata tungehukumu hapa kupitia jf bado hatutakua na nafasi Ya kuleta ufumbuzi wa tatizo husika.