Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Jamaa wanakaba hadi sipitali! Wana pingu na counter book la kuandikia maelezo. Si unajua alikuwa bado hajamalizia mahojiano?Kumbe yuko chini ya ulinzi?
Jamaa wanakaba hadi sipitali! Wana pingu na counter book la kuandikia maelezo. Si unajua alikuwa bado hajamalizia mahojiano?Kumbe yuko chini ya ulinzi?
Ni hivi jamn,,,ni sumu ambayo ilikuwa sehemu ambayo alikuwa anahojiwa,,,mlinzi wake alitaka aingie nae kweny hicho chumba wakakataa,,,baadae gwajima akavutwa akaingia ndani alivyoingia tu akazimia
Hawa jamaaa ni hatareee kweli kweli yaaani wanaku nyoosha kwa 'remote control' akizinduka hatarudia tena!Kwani katika waliokuwa wanamuhoji, walikuwepo pia wawakilishi wa Kanisa Katoliki hapo polisi Central?
Amewekewa drip kichogoni
Mbona unatukana kama mtume na nabii Gwajima?
Gwajima alijitetea akasema Matusi ameyatoa kwenye Bible... labda na yeye ana copy
He said, "If you listen carefully to the LORD your God and do what is right in his eyes, if you pay attention to his commands and keep all his decrees, I will not bring on you any of the diseases I brought on the Egyptians, for I am the LORD, who heals you.Exodus 15; pole mtumishi,ila kuna mahali umekosea,lazima utubu na umrudie Mungu...leo nimejiskia kukupa neno :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
#Jestina dada.
kumbe mlokole akiugua basi amekosea anatakiwa kutubu? Sasa na wazee wetu wa imani kina Ask Kolola, Mch. Mabondo n.k waliougua hatimaye wakalala ktk Bwana walijikwaa???
Queen Esther
Ulieleta Mada,au yeyote anaejua Tunaomba Kujua Hali Ya Askofu Gwajima inaendeleaje?
Bado kitu kimoja hakijakaa vizuri hapo; Kwa nini Gwajima asiwatukane moja kwa moja akina Pinda na wengine wanaotumika, aje amtukane huyu mwenzake ambaye unakiri alikuwa hajui kinachoendelea?...
Baadhi ya wakristo wajinga wanasema alitumia lugha kali, matusi, kejeli.. hawa ni wapumbavu.. hawajui Biblia, mwanzilishi wa ukristo Yesu mwenyewe alikuwa mkali sana kwa wapuuzi na mpole sana kwa wanyeyekevu. ....
Huyu mwanzilishi wa Imani ya kikristo Yesu mwenyewe alimwita Raisi wa kipindi hicho Mbweha, (Fox), sembuse Pengo. Je gwajima angesema We Pengo Mbeha Mkubwa we.. nadhani watu wangeropoka kweli mwezi mzima.
#
Mimi nimecopy tu ktk bible,km unaona nimekosea na unaujua zaidi huu mstari nifafanulie...lol.......:embarrassed1:
By Jestina
He said, "If you listen carefully to the LORD your God and do what is right in his eyes, if you pay attention to his commands and keep all his decrees, I will not bring on you any of the diseases I brought on the Egyptians, for I am the LORD, who heals you.Exodus 15; pole mtumishi,ila kuna mahali umekosea,lazima utubu na umrudie Mungu...leo nimejiskia kukupa neno
Jestina dada!!!!
Hee! Kumbe umecopy kwenye Biblia?. Hapo nilipopigia mstari Biblia zingine hazikuandika hivyo wewe Umecopy kwenye Biblia ipi??? Jibu swali langu je walokole hawaugui na wakiugua wametenda dhambi??? Wazee wetu wa Imani waliotangulia kwa Baba Kama Ask. Kolola na Mch Mabondo walifanya dhambi wakafa baada ya kuugua? Kwanini hawakulala bila mateso?
Queen Esther
Huyu easter ndo shemeji nini kwa kajamaa?
Wasimwachie upenyo aweza akawa anaigiza then wafuasi wake wamwibe wadai kanyakuliwa.Mtume amezidiwa Sana polisi wapo mlangoni wanasubiri apate nafuu mahojiano yaendelee.