kwa nn watu mnakimbilia kusema kuwa polisi walitaka kumuua,wakamuwekea sumu?
auliwe kwani yeye ana hatari gani kwa tanzania?
mbona sio tishio hata kidogo,kuna watu ambao ukisema serikali au polisi inataka kuwaua unaweza kujenga hoja lakini sio gwajima.
na pia kama wangetaka kumuua wasinge tumia mbinu mbovu ya sumu kwenye mic.
kagame amekua anawaua watu wote ambao kwanjia moja au nyingine wametishia kuuporomosha utawala wake,sasa gwajima auliwe na polisi ana hatari gani kwa taifa?
waumini wake na wafuasi wake ni sehem gani ya taifa?ni wachache sana,ni kama tone tu.
kwa nn serikali imuue,yy anajulikana kua anaongea vitu kwa pupa, aliongea kuhusu dengue,kitu ambacho ni cha kitaalam yy akakiongelea kwa kijinga.
hii kusema kuwa kawekewa sumu ni kutafuta pa kutokea tu
labda yy kapata mshtuko tu,hakutegemea kua alivyokua anaongea vile kwa kujisifu na kutaka umaarufu na kushanguliwa vinge mgeuka.
mishtuko kama hii inawakuta wengi,sio yeye wa kwanza.na yy ni binadamu tu kama wengine,na pia inasemekana kua hakula chakula kwa mda mrefu.vyote vinawwzekana.
lakini kutaka kuuliwa NO
mi sijui kusoma ila picha naona.naona mastaa wengi waliowahi kuonekana na Laigwanani wanapukutika tu!sijui laana hii?!hivi nani alizindua ile chopa ya Gwajima vile?