Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

Naomba hoi hali ingewakuta ndugu zetu wa TANESCO kijichi tumo gizani masaa 4 sasa
 
Afe tu shetani huyo. Huyo Mungu anayempa maagizo yuko wapi? Laana ya kutukana wazee hiyo. Inawezekana huyu Gwajima ni wale watoto wa mitaani wasiomjua baba yake,hivyo kumtusi mtu yeyote kwake sawa tu. Kama haigizi afe tu. Kama ni maigizo kesho au keshokutwa anakuja na mpya ya maagizo ya Mungu wake. Chezea mitume wa sasa weyeeee
 
Akifa itakua siku yake imefika....ht Yesu alisurubiwa msalabani na kufa japo hakuwa na hatia..na yy c ni nabii....asiogope msiogope...tatizo mtakosa kazi wengine hapa..kuhesabu sadaka na kuendesha vogue
 
Mimi kinachonishangaza ni kupoteza fahamu tu au kuna kitu kingine kipo ndani yake??

Naamini katika hili kuna mengi yamejificha ngoja tusubiri muda utasema ukweli.

Kama yapi hayo yaliyojificha mkuu,kuwa muwazi mkuu
 
We need to pray for Pastor Gwajima, he is in a very critical condition but stable. All senior Pastors and his family are with him at TMJ hospital and Doctors have recommended him to be evacuated to Nairobi for further treatments. Hii ni kwa Mujibu wa Eng. Bihagaza, tumuombee huyu mtumishi Aisee, tone ya Msaidizi wake inatia simanzi. Will keep you all informed...

Who cares chief?
 
Nasikia amefariki please nimesikia mwenye taarifa za uhakika atuambie

Kabla hajafa anatakiwa apewe Upako Mtakatifu na kardinal Pengo,anatakiwa aungame,ajute kwa kuvunja ndoa ya Mbasha na kumtukana mwakilishi wa Yesu Kristu,Policarp Pengo,n.k,na baada ya hapo safari yake ya kuelekea kuzimu itakuwa ya kheri sana
 
Kama bado anaongea basi walau aseme mawili matatu ya kuomba msamaha. Ni ushauri tu

yeah! aombe msamaha, ana wengi tu wa kuwaomba msamaha, e.g cardinal pengo, Emmanuel Mbasha, na wale aliwaigiza umisukule. Poor him! may All mighty God help him.
 
Hadi muda huu ni drip nane za GONGO zimekwisha,huu ni ushauri aliotoa dr Slaa alipokwenda kumjulia hari katika hospitali ya TMJ alikolazwa.
 
We need to pray for Pastor Gwajima, he is in a very critical condition but stable. All senior Pastors and his family are with him at TMJ hospital and Doctors have recommended him to be evacuated to Nairobi for further treatments. Hii ni kwa Mujibu wa Eng. Bihagaza, tumuombee huyu mtumishi Aisee, tone ya Msaidizi wake inatia simanzi. Will keep you all informed...
Good ! na hali izidi hivyohivyo kuwa mbaya kabisa
 
We need to pray for Pastor Gwajima, he is in a very critical condition but stable. All senior Pastors and his family are with him at TMJ hospital and Doctors have recommended him to be evacuated to Nairobi for further treatments. Hii ni kwa Mujibu wa Eng. Bihagaza, tumuombee huyu mtumishi Aisee, tone ya Msaidizi wake inatia simanzi. Will keep you all informed...

Ninachojiuliza ni kwanini alipohojiwa tu ndio aumwe ghafla?

Kuna chembe chembe zozote za u-Kolimba?

#JustAsking .
 
Kakimbia Mahojiano Kijanja Huyo.Kajifanyisha Kuzimia Hebu Piga Mzinga Uone Atakavyofyatua Mbio Za Kutosha
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Teheteheee alizimia baada ya kuambiwa tutakutangaza hadharani kuwa we ni muuza sembe halafu unachukua sadaka za watu bure wakati ulimzini frola na kumzalisa. Haitoshi ukamtesa mbasha kwakumpaka matope ya ubakaji.Tayari dna inaonesha mtoto ni wako. Jamaaa kwanini asizirai?hahahaaaa.
Umemtukana mzee hadharani ngoja tuite vyombo vya habari na ushahidi wa misukule yako ya kuchonga.Waliojifanya misukule na eneo la mafunzo pia mkanda wa video tunao haaaa jamaa chaaliii kaziiihundreddddiiiiii tehetehe
 
Kova noma,mahojiano ya masaa nane nonstop...!!
 
Back
Top Bottom