Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

Teheteheee alizimia baada ya kuambiwa tutakutangaza hadharani kuwa we ni muuza sembe halafu unachukua sadaka za watu bure wakati ulimzini frola na kumzalisa. Haitoshi ukamtesa mbasha kwakumpaka matope ya ubakaji.Tayari dna inaonesha mtoto ni wako. Jamaaa kwanini asizirai?hahahaaaa.
Umemtukana mzee hadharani ngoja tuite vyombo vya habari na ushahidi wa misukule yako ya kuchonga.Waliojifanya misukule na eneo la mafunzo pia mkanda wa video tunao haaaa jamaa chaaliii kaziiihundreddddiiiiii tehetehe

Maaskofu wa mitaani hao, kama waganga wa kienyeji!!!!
 
Kova noma,mahojiano ya masaa nane nonstop...!!

ulidhani mchezoeeeh! hapo lazima ushikwe na tumbo la kuhara kama sio pressure ya kupanda na kushuka. Maana unatoa maelezo hadi mate yanakauka. Unaambiwa data zako zote A to Z kwanini pressure isipande na kushuka mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
hivi ww ni binadamu wa kawaida au shetan ww!!! uhai wa binadamu ni muhimu, unasem afe sasa utakufa ww na upigwee!!!! huo ufala huo afu sijui kama una akili timamu maana naona umeandika pumba tu hapo
 
Nimejiuliza sana hata mimi.
kuna jambo limefanyika sio bure.
Hii nchi inaonekana nje kama kongoo lakini ya ndani ni mbwa mwitu.
Ni hivi jamn,,,ni sumu ambayo ilikuwa sehemu ambayo alikuwa anahojiwa,,,mlinzi wake alitaka aingie nae kweny hicho chumba wakakataa,,,baadae gwajima akavutwa akaingia ndani alivyoingia tu akazimia
 
Hili nalo neno.
 
Mungu wangu.....!!!!!! Nyiye watu wa mungu waongo saana.....hayo munayoandika mulikuwepo.....Wajameni..uwongo waweza leta balaa.
 
hivi ww ni binadamu wa kawaida au shetan ww!!! uhai wa binadamu ni muhimu, unasem afe sasa utakufa ww na upigwee!!!! huo ufala huo afu sijui kama una akili timamu maana naona umeandika pumba tu hapo
Mbona unatukana kama mtume na nabii Gwajima?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Teheteheee alizimia baada ya kuambiwa tutakutangaza hadharani kuwa we ni muuza sembe halafu unachukua sadaka za watu bure wakati ulimzini frola na kumzalisa. Haitoshi ukamtesa mbasha kwakumpaka matope ya ubakaji.Tayari dna inaonesha mtoto ni wako. Jamaaa kwanini asizirai?hahahaaaa.
Umemtukana mzee hadharani ngoja tuite vyombo vya habari na ushahidi wa misukule yako ya kuchonga.Waliojifanya misukule na eneo la mafunzo pia mkanda wa video tunao haaaa jamaa chaaliii kaziiihundreddddiiiiii tehetehe

Yule kid imeshekuwa prooved kuw ni Gwajm…?
 
Alizinduka kidogo, alivyomuona askari ana pingu akazirai tena
 
Back
Top Bottom