Kuna taarifa za ndani kwamba wale viongozi na wanachama wa CDM waliokamatwa na kufikishwa mahakamani jana wamenyimwa dhamana. Wapo waliokaa mahabusu takribani wiki moja sasa. Eti wanashikiliwa kwa kosa la kula njama.
Unajua yanayokea Misri sasa ? so called peoples power nje ya kura ni uhaini tu... na dawa yake inapatikana baada ya mudamfupi...Misri is a good case study ... Tunis same..Syriaa same.Hosin Mubarak wa misri alitumia vifaru; wanajeshi wakaua hadi wakaona ni upuuzi! waandamanaji wakapanda juu ya vifaru huku askari wakiwalinda. We cannot defeat injustice by becoming more inferior before oppressors but by becoming more superior against injustice and oppressors! Ukiona unyanyasaji unashamiri ujue ukombozi umekaribia. I prefer non violence struggle which is at hand-2015. Lets come together kingsmen and reject the bark-shelled exploiters.
Viongozi wa kitaifa wa cdm fuatilieni hilo ili kujua kama linaukweli na baada ya hapo kitengo cha wanasheria wa chama wasimamieni viongozi hawa wa masasi.pia mlioko huko kama taarif ahamjazileta ngome fanyeni mpango wa haraka kuleta taarifa hizo na ikibidi mtu au watu waje physical pale ngome na kulitolea maelezo jambo hili na kisha najua chama kitachukua hatua za haraka kulitatua hili.
Aiseee mwaka gani waziri mkuu alisema wahalifu waachiwe? Wakati Rais alisema vizuri tu vyombo vya dola vifanye kazi yao Mwana CDM kama akishikwa isivyo haki Mahamani atashinda usiwe na wasiwasi?
Pamoja na Waziri Mkuu kuamuru kuwa wale wote waliokamatwa kwa uchochezi wa matukio ya vurugu Mtwara waachiwe hali ni kinyume kabisa kwani kila siku watu wanakamatwa hovyo. Kwa sasa watu wanakamatwa kwa kosa la kuwa wananchama wa CHADEMA. Jana huko Lulindi kata ya Namalenga kijiji cha Mitesa mwenyekiti wa kijiji hicho kupitia CHADEMA aitwaye GHADAFI amekamata saa 6 usiku na polisi wa Masasi. Alikamatwa pamoja na kaimu mtendaji wa kijiji hicho.
Jana hiyo hiyo yapata Mahabusu 110 walifikishwa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo. Kwa kuwa mahakama ya mwanzo ilichomwa moto hakimu alilazimika kuwasomea mashitaka yao katika chumba cha hakimu mkazi. Kosa kubwa linalowagharimu viongozi na wanachama wa CHADEMA ni kukutwa na kadi ya CDM. Kwa sasa imewalazimu wananchi kutembea na kadi za CCM kama njia pekee ya kunusurika na kukamatwa na polisi ambao wengi wao wametoka Tunduru na Songea.
Askari hawa wakija kukamata watu wanapora vitu mbalimbali vya ndani. Ukikutwa una TV unadaiwa risiti kama huna wanaichukua. Viongozi wote wa mashina wa CDM wamekamatwa. Kwa kweli hali ni mbaya sana. Hakuna chombo cha habari hata kimoja kinachotoa taarifa ya mambo yanayotokea huku. Wananchi wanadai kwamba vyombo vya habari vimenyamazishwa.
Viongozi kadhaa wa CHADEMA wa Masasi na karibu mkoa wote wa Mtwara wako katika wakati mgumu sana. Baadhi wamekimbia majumbani mwao na sasa wengine inasemekana kwamba wameenda DSM kujificha.
CCM wameamua kutumia jeshi la polisi kuhakikisha kwamba wapenzi, wanachama,viongozi na mashabiki wa CHADEMA wananywea na kuogopa kabisa kujitambulisha na chama chao. Hii sasa ni nchi ya vitisho. Sioni kama tutafika tuendako. Hali ni tete sana huko Mtwara.
Kuna taarifa za ndani kwamba wale viongozi na wanachama wa CDM waliokamatwa na kufikishwa mahakamani jana wamenyimwa dhamana. Wapo waliokaa mahabusu takribani wiki moja sasa. Eti wanashikiliwa kwa kosa la kula njama.
Wacha uongo wako kusini huku hakuna Chadema,nyinyi mulitubagua zawani kwa ukabila wenu na udini wenu...huku kama Zanzibar vyama ni viwili tu....CCM na CUFPamoja na Waziri Mkuu kuamuru kuwa wale wote waliokamatwa kwa uchochezi wa matukio ya vurugu Mtwara waachiwe hali ni kinyume kabisa kwani kila siku watu wanakamatwa hovyo. Kwa sasa watu wanakamatwa kwa kosa la kuwa wananchama wa CHADEMA. Jana huko Lulindi kata ya Namalenga kijiji cha Mitesa mwenyekiti wa kijiji hicho kupitia CHADEMA aitwaye GHADAFI amekamata saa 6 usiku na polisi wa Masasi. Alikamatwa pamoja na kaimu mtendaji wa kijiji hicho.
Jana hiyo hiyo yapata Mahabusu 110 walifikishwa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo. Kwa kuwa mahakama ya mwanzo ilichomwa moto hakimu alilazimika kuwasomea mashitaka yao katika chumba cha hakimu mkazi. Kosa kubwa linalowagharimu viongozi na wanachama wa CHADEMA ni kukutwa na kadi ya CDM. Kwa sasa imewalazimu wananchi kutembea na kadi za CCM kama njia pekee ya kunusurika na kukamatwa na polisi ambao wengi wao wametoka Tunduru na Songea.
Askari hawa wakija kukamata watu wanapora vitu mbalimbali vya ndani. Ukikutwa una TV unadaiwa risiti kama huna wanaichukua. Viongozi wote wa mashina wa CDM wamekamatwa. Kwa kweli hali ni mbaya sana. Hakuna chombo cha habari hata kimoja kinachotoa taarifa ya mambo yanayotokea huku. Wananchi wanadai kwamba vyombo vya habari vimenyamazishwa.
Viongozi kadhaa wa CHADEMA wa Masasi na karibu mkoa wote wa Mtwara wako katika wakati mgumu sana. Baadhi wamekimbia majumbani mwao na sasa wengine inasemekana kwamba wameenda DSM kujificha.
CCM wameamua kutumia jeshi la polisi kuhakikisha kwamba wapenzi, wanachama,viongozi na mashabiki wa CHADEMA wananywea na kuogopa kabisa kujitambulisha na chama chao. Hii sasa ni nchi ya vitisho. Sioni kama tutafika tuendako. Hali ni tete sana huko Mtwara.
tupe uthibitisho wa tuhuma zakoPamoja na Waziri Mkuu kuamuru kuwa wale wote waliokamatwa kwa uchochezi wa matukio ya vurugu Mtwara waachiwe hali ni kinyume kabisa kwani kila siku watu wanakamatwa hovyo. Kwa sasa watu wanakamatwa kwa kosa la kuwa wananchama wa CHADEMA. Jana huko Lulindi kata ya Namalenga kijiji cha Mitesa mwenyekiti wa kijiji hicho kupitia CHADEMA aitwaye GHADAFI amekamata saa 6 usiku na polisi wa Masasi. Alikamatwa pamoja na kaimu mtendaji wa kijiji hicho.
Jana hiyo hiyo yapata Mahabusu 110 walifikishwa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo. Kwa kuwa mahakama ya mwanzo ilichomwa moto hakimu alilazimika kuwasomea mashitaka yao katika chumba cha hakimu mkazi. Kosa kubwa linalowagharimu viongozi na wanachama wa CHADEMA ni kukutwa na kadi ya CDM. Kwa sasa imewalazimu wananchi kutembea na kadi za CCM kama njia pekee ya kunusurika na kukamatwa na polisi ambao wengi wao wametoka Tunduru na Songea.
Askari hawa wakija kukamata watu wanapora vitu mbalimbali vya ndani. Ukikutwa una TV unadaiwa risiti kama huna wanaichukua. Viongozi wote wa mashina wa CDM wamekamatwa. Kwa kweli hali ni mbaya sana. Hakuna chombo cha habari hata kimoja kinachotoa taarifa ya mambo yanayotokea huku. Wananchi wanadai kwamba vyombo vya habari vimenyamazishwa.
Viongozi kadhaa wa CHADEMA wa Masasi na karibu mkoa wote wa Mtwara wako katika wakati mgumu sana. Baadhi wamekimbia majumbani mwao na sasa wengine inasemekana kwamba wameenda DSM kujificha.
CCM wameamua kutumia jeshi la polisi kuhakikisha kwamba wapenzi, wanachama,viongozi na mashabiki wa CHADEMA wananywea na kuogopa kabisa kujitambulisha na chama chao. Hii sasa ni nchi ya vitisho. Sioni kama tutafika tuendako. Hali ni tete sana huko Mtwara.
Mbona hayo yanaeleweka tangu enzi za Nyerere, kwamba ukiandamana kudai haki yako dhidi ya serikali, wewe ni adui mkubwa wa serikali. Kwani akini Ulimboka hawakujua wangepatwa na nini? Lakini hatutanyamazishwa na kuvaa mioyo ya uoga kwa kuwa tu wenye mamlaka wana uwezo wa kutumia dola kutunyamazisha. Ufike wakati, wenzetu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka ya uongo, sisi tuandamane kupinga kukamatwa kwao. Tukifikia kwenye spirit ya aina hiyo, Udikteta wa Kikwete utafika mwisho kama si kupungua. Huyu bwana anaongoza nchi kimabavu kupita kawaida. Na hii haishangazi hasa kwa mtu asiye na hekima ya kuwashawishi watu ili wamsikilize.sasa sijui tuwasaidiaje jamani?kwani kabla hamjaanza harakati zenu hamkujua reaction itakuaje?au mlidhani watawakubalia madai yenu.