Hali sio mbaya kama inavyoenezwa kwenye mitandao!!

Wiki iliyopita nimepigiwa simu na ndugu zaidi ya kumi wanaomba msaada maisha magumu, kukaa nje kote miaka zaidi ya kumi jambo hili halijawahi tokea.

Yaani CAG, IMF, mtaani kampuni zinazofungwa, kote kuna evidence za kutosha alafu we unakuja na analysis yako bila hata kauchunguzi kidogo. Watu mna matatizo ya akili labda ushamba unakusumbua

Mkuu; hapo kwenye bold. Umempa sifa asiyostahili. Huyo afanye analysis gani? Anajua hata maana yake basi?
 
Kuna kiongozi wa CCM kaniuzia shamba lake la ekari 30 kwa sh 6m baada ya kuhangaika kuuza kwa muda mrefu, na kutopata mteja.

Mimi sikuwa na haja ya shamba, akazidi kubembeleza kuwa nimsaidie ili angalao afanikishe kuwafanya watoto wake wawili waliopo chuoni wamalizie masomo.

Siku ya pili akiwa na viongozi wenzie wa CCM, akaja kijana mmoja aishie Dar, alipoona wamekaa viongozi wa CCM, akaanza kumsifie jiwe, wengi walimpinha lakini jamaa aliyeniuzia shamba ambaye ni Mwenyekiti wa kata alikaa kimya. Baadaye akasimama, alimlamba kofi kijana usoni kijana aliyekuwa anamsifia jiwe, kijana anguka kwa nyuma, akatoka anakimbia huku akianguka na kusimama maana yule Mwenyekiti wa kata siyo mtu wa mchezo. Ni giant hasa, na kiganja chake kimoja ni sawa na viganja vya watu wawili wa kawaida. Kisha akaanza kulalamika, 'huyu hana akili, mahindi yangu niliyotarajia kupata sh milioni 72, nimepata milipni nane wakati bank na watu wa pembejeo wananidai sh 18m. Halafu anakuja kuleta upumb.avu wa huyo mtu wake'.

Katibu mwenezi wake ameniuzia kiwanja kilichopimwa kwa sh 1.7m. Nimemlipa sh 1m. Hali ni mbaya kwa watu wengi. Na hawa wa CCM, mimi sina huruma nao. Akiwa na property, unaichukua ili jamaa atakapoondoka, wengi watakuwa wamesalia watupu kabisa.

Mjeda, naye kwa wiki zima amekuwa akinibembeleza sana. Kiwanja alichokinunua mika 6 iliyopita kwa sh 5.5m, kaniuzia kwa sh 2.1m huku akinikabidhi hati na karatasi alizokuwa amenunulia.

Wengime watatu, nimewakatalia.

Jamani, siyo utani - mambo ni magumu sana. Na inavyoonekana hali itazidi kuwa ngumu. Namshukuru Mungu mapato yangu siyo yategemeayo mapato ya hapa nyumbani, japo shughuli za hapa nyumbani zimeathirika sana.

Huku mtaani kama hali yako ni ya unafuu kidogo, utakuwa na bahati sana kama utamaliza wiki bila kupokea maombi mbalimbali toka kwa ndugu, makanisa, vikundi, mashuleni, marafiki na hata viongozi waliopo serikalini.
 
Mimi niko huko kwenye serikali yako unayoiamini. Sijui research umefanya mtaani kwenu tu au vijijini. Au umefanya dar tu basi unakuja na conclusion kuwa mitaa yote iko hivyo.
Kiukweli mzunguko wa pesa ume tight.. hali ni ngumu ni kweli.. na hii huwez i feel effectnyake. Kama bado unaishi kwa wazazi..kwa shemeji.. au kwa ndugu zako..
Kama bado unaishi hostel au hujaoa.
Kwahio kama hujaoa huwezi kuona effect ya uchumi? Hujui wengi tu hawajaoa na ni wajasiriamali au wafanyakazi? Hebu heshimu watu wote kuoa haina maana ndio uko responsible au mpambanaji kuliko watu wote.
 
Ndio hilo tu umeona? Option nilizoweka ni kuona mtoa post anafit hapo ktk profile gani.
Nashukuru kwa kuongezea.. ila sina maana kuwa wasio oa hawa experience hii effect. Wote kwa njia tofuti tofauti tofauti tuna experience effect za uchum kudidimia.

Nime zunguka nchi nzima hadi vijijini hali si mbaya kama tunavyoaminishwa kwenye mitandao.
Hata kipindi cha maandamano yaliyoratibiwa kwenye mitandao hasa na mange. Wakati huo nilikuwa serengeti mugumu, butiama, bunda na Musoma mjini. Kulikuwa shwari na by the way watu hawakuwa na habari kama kuna maandamano. People are busy doing jobs.

Serikali iendele kuchapa kazi. Hawa wapinzani uchwara wakina zito ni wanafiki sana wakipewa nafasi watauza nchi hawa. Tusije hata kuthubutu kuwapa madaraka
 
Uchumi ukiyumba mtu yeyote anaweza kuathirika
1.anaekaa kwa shemeji anaweza kurudi kijijini kwasababu shemeji atashindwa kumbeba
2.anaekaa hostel anaweza kukosa hata ada kwasababu anaemlipia line imekata
Kuguswa kila mtu kwa njia moja au nyingine
 
Ni kweli kabisa mr.rondo. ndio maana nimeandika mwanzoni kwamba mshkaji inaonekana kabisa anaish kwao.. or somewhere ambapo haya makali haya sikii. Siku akitoks hapo alipo ndipo ataonja utam wake wa uchum kudorora
Uchumi ukiyumba mtu yeyote anaweza kuathirika
1.anaekaa kwa shemeji anaweza kurudi kijijini kwasababu shemeji atashindwa kumbeba
2.anaekaa hostel anaweza kukosa hata ada kwasababu anaemlipia line imekata
Kuguswa kila mtu kwa njia moja au nyingine
 
Heshima kwenu Wanajamvi! Heri ya Pasaka kwenu wote mnaosherekea!!

Wapendwa baada ya kuwa nimeona kwenye mitandao malalamiko ya hali mbaya, nikaamua nifanye kautafiti kadogo japo sio rasmi ( usiniulize habari ya sampling au methodology )

Kwenye mitandao ya kijamii wanaondesha propaganda ni kijikundi cha watu wachache ambao hata 50 hawafiki!! Hata majina naweza kuyataja!! Uhalisia mtaani maisha yapo vzr watu wanapiga kazi. Hakuna malalamiko ambayo tunayaona mitandaoni!
Naishauri Serikali isiingie kwenye mtego wa propaganda za ripoti sijui iwe ya IMF, au ya CAG. Hizi ni propaganda za kuichafua Serikalini yetu pendwa
Nadhani wewe utakuwa mmojawapo wa wabunge wa jamhuri ya wadanganyika
 
UMEKUJA DAR JUZI UMEFIKIA KWA DADA YAKO AMBAYE KAOLEWA KUTOKA UKO SITIMBI UAKULA NA KULALA BURE UNADHANI UTAJUA NINI KINAENDELEA
 
Nime zunguka nchi nzima hadi vijijini hali si mbaya kama tunavyoaminishwa kwenye mitandao.
Hata kipindi cha maandamano yaliyoratibiwa kwenye mitandao hasa na mange. Wakati huo nilikuwa serengeti mugumu, butiama, bunda na Musoma mjini. Kulikuwa shwari na by the way watu hawakuwa na habari kama kuna maandamano. People are busy doing jobs.

Serikali iendele kuchapa kazi. Hawa wapinzani uchwara wakina zito ni wanafiki sana wakipewa nafasi watauza nchi hawa. Tusije hata kuthubutu kuwapa madaraka
Kama uchumi unakua,kwa nini wamezuia ripoti ya IMF kuchapishwa?
Viongozi Wa cdm naona wamepata relief baada ya Zito kupokea kijiti. Colabo ya Zito na maalim inawatesa sana!!!
 
IMF wamesema uchumi unakua kwa 4% wakati kabla ilikuwa 6.9%. Kwahiyo uchumi unakuwa ila kwa kasi ndogo tofauti na vipindi vilivyopita
 
Heshima kwenu Wanajamvi! Heri ya Pasaka kwenu wote mnaosherekea!!

Wapendwa baada ya kuwa nimeona kwenye mitandao malalamiko ya hali mbaya, nikaamua nifanye kautafiti kadogo japo sio rasmi ( usiniulize habari ya sampling au methodology )

Kwenye mitandao ya kijamii wanaondesha propaganda ni kijikundi cha watu wachache ambao hata 50 hawafiki!! Hata majina naweza kuyataja!! Uhalisia mtaani maisha yapo vzr watu wanapiga kazi. Hakuna malalamiko ambayo tunayaona mitandaoni!
Naishauri Serikali isiingie kwenye mtego wa propaganda za ripoti sijui iwe ya IMF, au ya CAG. Hizi ni propaganda za kuichafua Serikalini yetu pendwa

Wewe ni Mshauri mzuri wa Serikali isiingie kwenye mtego wa Propaganda za IMF au ya CAG. Ambazo zinalenga kuichafua serikali.

Ni Kweli Hali sio Mbaya kama Ulivyofanya UTAFITI kwa kutembea Mitaani.

Tanzania inamitaa mingi, na wewe umetembea yote. Ukaona malalamiko sio mengi kama ya mitandaoni.

CAG huyu Profesa anafanya propaganda.utafiti wako ni Makini kuliko wa CAG na IMF.

HATUNA HAJA YA KUKUULIZA METHODOLOGY ULIZOTUMIA KUFANYA TAFITI MAANA HATA WEWE UMETUPIGA MARUFUKU TUSIKUULIZE HilO.
 
Kama wewe 'hutaki' hufanya kazi.. ., ujue pia hakuna KULA. Ukibisha ujue unabishia Quran na bible
 
Heshima kwenu Wanajamvi! Heri ya Pasaka kwenu wote mnaosherekea!!

Wapendwa baada ya kuwa nimeona kwenye mitandao malalamiko ya hali mbaya, nikaamua nifanye kautafiti kadogo japo sio rasmi ( usiniulize habari ya sampling au methodology )

Kwenye mitandao ya kijamii wanaondesha propaganda ni kijikundi cha watu wachache ambao hata 50 hawafiki!! Hata majina naweza kuyataja!! Uhalisia mtaani maisha yapo vzr watu wanapiga kazi. Hakuna malalamiko ambayo tunayaona mitandaoni!
Naishauri Serikali isiingie kwenye mtego wa propaganda za ripoti sijui iwe ya IMF, au ya CAG. Hizi ni propaganda za kuichafua Serikalini yetu pendwa
Tunajua pasaka pilau la dezo nilingi, kula kiasi maana umevimbiwa unaanza kutupumulia kwa miruzi hukochini! Sio Tabia nzuri blaza
au unatafuta wachangiaji wengi kwa kuwapandisha hasira na hoja ya hovyo??
 
Ni kweli hali mtaani ni nzuri ndio maana hata wabunge wa ccm wakakataa wafanyakazi kuongezewa mishahara
 
Heshima kwenu Wanajamvi! Heri ya Pasaka kwenu wote mnaosherekea!!

Wapendwa baada ya kuwa nimeona kwenye mitandao malalamiko ya hali mbaya, nikaamua nifanye kautafiti kadogo japo sio rasmi ( usiniulize habari ya sampling au methodology )

Kwenye mitandao ya kijamii wanaondesha propaganda ni kijikundi cha watu wachache ambao hata 50 hawafiki!! Hata majina naweza kuyataja!! Uhalisia mtaani maisha yapo vzr watu wanapiga kazi. Hakuna malalamiko ambayo tunayaona mitandaoni!
Naishauri Serikali isiingie kwenye mtego wa propaganda za ripoti sijui iwe ya IMF, au ya CAG. Hizi ni propaganda za kuichafua Serikalini yetu pendwa
Ni kweli mkuu wanaichafua serikali pendwa ya Rais mtakatifu John asiye na dhambi kabisa.
Awamu ya tano Tanzania imekuwa tajiri kuliko Japan,IMF wanatuonea wivu kwa sababu mwakani tutaanza kusaidia nchi zote maskini Duniani.
Hadi sasa hivi awamu ya tano imetoa ajira kwa vijana mil 5, uchumi unakua kwa 45% kwa mwaka.
Watu wasio na ajira wanapokea posho ya sh 40,000 kila wk,hivi wapinzani wanataka nini?
CCM Hoyeeeeeeerwerwreweweeee
 
Kuna kiongozi wa CCM kaniuzia shamba lake la ekari 30 kwa sh 6m baada ya kuhangaika kuuza kwa muda mrefu, na kutopata mteja.

Mimi sikuwa na haja ya shamba, akazidi kubembeleza kuwa nimsaidie ili angalao afanikishe kuwafanya watoto wake wawili waliopo chuoni wamalizie masomo.

Siku ya pili akiwa na viongozi wenzie wa CCM, akaja kijana mmoja aishie Dar, alipoona wamekaa viongozi wa CCM, akaanza kumsifie jiwe, wengi walimpinha lakini jamaa aliyeniuzia shamba ambaye ni Mwenyekiti wa kata alikaa kimya. Baadaye akasimama, alimlamba kofi kijana usoni kijana aliyekuwa anamsifia jiwe, kijana anguka kwa nyuma, akatoka anakimbia huku akianguka na kusimama maana yule Mwenyekiti wa kata siyo mtu wa mchezo. Ni giant hasa, na kiganja chake kimoja ni sawa na viganja vya watu wawili wa kawaida. Kisha akaanza kulalamika, 'huyu hana akili, mahindi yangu niliyotarajia kupata sh milioni 72, nimepata milipni nane wakati bank na watu wa pembejeo wananidai sh 18m. Halafu anakuja kuleta upumb.avu wa huyo mtu wake'.

Katibu mwenezi wake ameniuzia kiwanja kilichopimwa kwa sh 1.7m. Nimemlipa sh 1m. Hali ni mbaya kwa watu wengi. Na hawa wa CCM, mimi sina huruma nao. Akiwa na property, unaichukua ili jamaa atakapoondoka, wengi watakuwa wamesalia watupu kabisa.

Mjeda, naye kwa wiki zima amekuwa akinibembeleza sana. Kiwanja alichokinunua mika 6 iliyopita kwa sh 5.5m, kaniuzia kwa sh 2.1m huku akinikabidhi hati na karatasi alizokuwa amenunulia.

Wengime watatu, nimewakatalia.

Jamani, siyo utani - mambo ni magumu sana. Na inavyoonekana hali itazidi kuwa ngumu. Namshukuru Mungu mapato yangu siyo yategemeayo mapato ya hapa nyumbani, japo shughuli za hapa nyumbani zimeathirika sana.

Huku mtaani kama hali yako ni ya unafuu kidogo, utakuwa na bahati sana kama utamaliza wiki bila kupokea maombi mbalimbali toka kwa ndugu, makanisa, vikundi, mashuleni, marafiki na hata viongozi waliopo serikalini.
Mkuu hilo liko wazi hata Jiwe mwenyewe analitambua. Ndio maana kajiongezea ulinzi binafsi mara dufu kutokana na hofu iliyotawala nafsini mwake.
 
Back
Top Bottom