Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Mwenyekiti wa CCM Taifa anatokea,Mkoa wa Geita Kanda ya ziwa, jirani na mkoa wa Geita ni mkoa wa kagera anatokea katibu mkuu wa chama, Kanda ya ziwa. Katibu mwenezi anatokea mkoa wa Mara ,Kanda ya ziwa.mnategemea ccm iko salama?
Halafu huko ndiko kwenye upinzani mkubwa wa kimya kimya!!
Isipokua Chato mjini kwenye familia moja tu.
CCM ikubali tu serikali ya umoja wa kitaifa vinginevyo siku ikitoka madarakani ndio watajikuta wanatumia mapesa yao kuunda vikundi vya kigaidi au watu wao wasiojulikana .
 
Wamewalazimishia wagombea wasiowataka, shinyanga walimtaka masele wakampa makarai ili akaseme ndio bungeni. Leo makarai na waitara wamesusiwa kampeni na maccm wenzao wamesema watawapa wapinzani sababu maamuzi yao ayakuheshimiwa.
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.



Maoni ya Kada wa CCM.

Atajuaje nani kampigia nani?
 
Wamewalazimishia wagombea wasiowataka, shinyanga walimtaka masele wakampa makarai ili akaseme ndio bungeni. Leo makarai na waitara wamesusiwa kampeni na maccm wenzao wamesema watawapa wapinzani sababu maamuzi yao ayakuheshimiwa.
Hivi kweli MTU unapoteza muda waako kwenda kumpa kura waitara so ushoga huo na upumbavu?
Ukonga kakimbia hajafanya lolote
 
Hivi kweli MTU unapoteza muda waako kwenda kumpa kura waitara so ushoga huo na upumbavu?
Ukonga kakimbia hajafanya lolote
Atoboi kule uzuri vituo vya polisi Ni vya kuhesabu kule havizidi hata vitatu ataibaje kwa mfano,pia wakurya upiga doria kwa mapanga kulinda kura,sijui ataishije bila ubunge, kampeni zake kasusiwa na maccm wenzake.
 
Siyo hayo tu, kuna watu hawajaathiriwa moja kwa moja na mfumo mbovu wa uongozi wa magu lakini roho zao zipo upinzani, hata kama hujaguswa ile kuona wapinzani wananyanyaswa na kupewa kesi za kubambikiwa, Mpinzani mmoja amenusurika kuuawa kwa risasi nyingi na uchunguzi haujafanyika hadi leo, kuona watu wakifilisiwa kwa sababu ambazo ni petty ambapo zingetumika njia zisizo na madhara kumuadhibu mhusika (Manji) badala ya kuharibu biashara zake zilizotoa ajira za maelfu ya watu, kuona Rais akiisigina katiba kwa miaka mitano mfululizo, kuona Rais amejigeuza mungu-mtu kila mtu anamwabudu, kuona kuna sehemu zikididimizwa kimaendeleo na zingine zikipendelewa, na madudu mengine mengi, haya mambo yamechosha watu lazima sote tuwe upinzani.

WaTz tuache ubinafsi tujifunze kupaza sauti na kufanya maamuzi kwaajili ya wengine, kwa yanayoendelea nchini haihitaji uathiriwe moja kwa moja ndipo uone upinzani ni mbadala. Yanayoendelea ni machafu tuyapinge kwa nguvu zote hata kama unajiona uko safe kwa sasa.

Tuwachague wapinzani ili tuwadai katiba mpya ambayo itatumika kuwaondoa na wao wakiharibu. Hakuna chama kinachotakiwa kujiona kina hati miliki ya kuiongoza nchi hii pekeyao, CCM hawawezi kutupa katiba mpya kwasababu hawajawahi kuiahidi, Shime watanzania.
umenena mkuu. kuna watu tena watymishi wanasema sisi tutachagua upande unaoonewa
 
Chama ni kundi la watu wenye nia moja na mawazo yaliyofanana lakini kuwa na uhuru wa kukosoana ndani kwa ajili ya kujenga chama ndio nguvu ya chama lakini mkishaanza kuongoza wengine kwa mataamko au kama bwana mkubwa alivyosema itategemea na siku alivyoaamka anakukata tu jina. sasa haya ndio madhara yake. Bashiru ndio katibu atakuja kuuwa hichi chama. Ni wajibu kukaa na kutafakari tatizo wapi na kubwa wakuze demokrasia ndani ya chama kukosoana kwa ajili ya kujenga ni vizuri hamuwezi kuwa million ya watu na mkafanana mawazo. Hapa mimi nadhani kuna CCM asili na CCM kampuni kama mambo ya Yanga....
 
Wapenzi na wanachama wa Simba walipong’oa viti club ya simba iliwajibika pamoja na kulipa gharama haikuwafukuza uanachama Kakurwa sijui anajiamini nini.

Hana kingine zaidi ya kuamini kuwa wanalindwa na kubebwa na dola kama Yanga alivyobebwa jana dhidi ya Kagera vinginevyo kama haki itatendeka mbona asubuhi tu watu wanafunga ofisi?....Povu ruksa!
 
Wasaliti huwepo kila chama Yesu mwenyewe mitume wake kulikuwepo msaliti Yuda Iskariote .Issue si.kuwepo wasaliti issue ni kuwadhibiti

Hai wa CCM tuachie Ni saizi yetuu. Tutapeleka kilio Kwao tunawalia timing
Yuda asingemsaliti Yesu, Yesu asingepata nafasi ya kukamilisha dhumuni lake la kuja duniani. Hawa wasaliti wasingekuwepo wasingemsaidia mbeba maono kutuvusha kutoka kwenye makucha ya mkoloni CCM.
 
Yuda asingemsaliti Yesu, Yesu asingepata nafasi ya kukamilisha dhumuni lake la kuja duniani. Hawa wasaliti wasingekuwepo wasingemsaidia mbeba maono kutuvusha kutoka kwenye makucha ya mkoloni CCM.
Mbinguni kwa Mungu pia kulikuwa na msaliti Shetani na malaika wale ambao walidhibitiwa na kuvurumshwa mbinguni nao walikuwa wakikamilisha dhumuni gani?

Hai wa CCM sisi tunawaweza huko Chadema mnao kibao na huwa hamuwawezi wengine Hadi huingia mchana kweupe mnawapa Hadi ugombea uraisi Kama mlivyofanya kwa Lowasa!!

CCM tunawaweza
 
Back
Top Bottom