Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

Ila kwenye sekta ya elimu , kwa wale wa form 6 2017 kurud nyuma nadhani wanaikumbukua shughul ya mh Ndalichako ilikua ni tabu mixer majonz kiaina ...binafc ndio kilichonifanya nichelewe kwenda chuo mpk Leo hii [emoji3] ctaman kukumbuka kwakweli
Hahah Mkuu alikufanyaje mpaka ukashindwa kuendelea?
 
Back
Top Bottom