Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata ya Gesi


hahahaha Yaya Toure me ndo kinara wa ban,nahisi ndo KIRANJA
 
Last edited by a moderator:
Poor Tanzania!!! Watawala wanafanya majaribio ya hatari kwa kiburi tu cha madaraka!
 
Nawaunga mkono wanamtwara. Tatizo la serikali inafikiri kutumia nguvu na watu wakatulia ndio amani. Hiyo siyo amani ni vita kubwa. Watu wanatakiwa waridhike toka moyoni na sio kuogopa virungu na mabomu ya polisi. Lazima serikali inayojidai ni sikivu sasa iwasikilize wananchi kwani ndio walioichagua na sio wananchi kuisikiliza serikali. Mtapiga mabomu mangapi na risasi ngapi na virungu vingapi ili wananchi waridhike? Kama ingekuwa kupiga virungu, mabomu, na risasi za moto ndio kuwaridhisha au kurudisha amani kwa wananchi basi leo kusingekuwa kuwa na vurugu Mtwara na sehemu nyingine. Serikali kwa hili itashindwa baada ya damu ya wananchi wengi kumwagika!
 
Mimi hata sijui niunge mkono kundi lipi....la wananchi utata, la serikali na mawazo ya ufisadi/rushwa n.k utata pia...ngoja nisichangie kabisa.
 

Ukitema nchale ukimeza nchale, chezea nchinga boy wewe.
 

kama huamini serikali haipo we endeleza tu hizo vurugu
 

hiyo ndo nguvu ya dola kaka
 
Acha unafiki wewe umemwona kiongozi gani ndani ya chama Twawala ana nia njema na taifa hili? Kama wewe ni sehemu yao basi acha sisi tuharibu watakaokuwepo siku za usoni watakuja kurekebisha
kuna mtu alipost humu kwamba watu wa Mtwara wana msemo wao wa jadi kwamba ni bora tukose wote,huenda wameamua hivyo,lakini naona ni sawa maana wakiwachiwa hawa watu wa chama Twawala watakula wao na watoto wao zaidi zaidi na mahawara zao.GESI HAITOKI MTWARA HATA KWA BONBA LA PENI.wamesema wao!
 
kwa hiyo wana mtwara ni wajinga? au walikuwa wajinga?

inazekana before walikuwa wajinga ila baada ya kupewa elimu uraia wameerevuka, masikitiko yangu ni kuwa wakati mpaka wana mtwara wamekuwa concious namna hiyo wewe bado ni mjinga wa kutupwa
 
Muhongo hakujibu chochote kuhusu madai ya wanamtwara.hapo tuacheni kupindisha
ni hivi hakuna sababu ya kujenga bomba la gesi,pili hakuna sababu ya kupoteza fedha za mkopo wa kujenga bandari ya Bagamoyo,fedha hizo zitumike kujenga ama kukarabati bandari ya Mtwara,ili itumike kusafirisha gesi,na kama ni uzalishaji wa umeme uzalishwe Mtwara na uingizwe kwenye gridi ya Taifa na kuusambaza kule wanakohitaji.hii janja ya nyani aliyoileta Muhongo Mtwara hawataki kusikia,hizo takwaimu alizozitoa Muhongo wanamtwara hawtaki kusikia,wao wanachokitaka masikioni mwao ni Gesi haitoki kwa bomba la mchina kuja Dar.
 
Viva mtwara hakuna mtu kutoka mtwara atakayekuja kutetea maslahi yenu isipokuwa nyinyi wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…