Hali ni mbaya sana ya mungano.

Hali ni mbaya sana ya mungano.

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Jaman wanasiasa hasa CCM lioneni hili ukipita mitani wat karib ya kupigana kati ya watanganyika na Wazanzibar nimepita pale wanapouza spea za gari shauri moyo duh mpaka nitalala bado nina hofu kama kwel wat hawatapigana kisa mungano.
 
Pale ni wapemba watupu
 
Jaman 2sichukulie po ahali mbaya mitani, najiuliza wapemb wanajiaminije yani yupo ktkt ya kund la watanganyika wanabishana kwa maneno makali na matusi kisa mungano.
 
Akina ole sendeka munaotaka kulazimisha mungan munaupend nyinyi kwa gharama yoyote ile utajiskiaje ukipita mitaani na v8 ya na familia yako huku unaziruka mait na majeruh za familia za wenzako kisa mungano?
 
Jamani mnaozunguzia kuuvunja muungano nyinyi mlikuwepo kipindi nyerere na karume walivyoziunganisha hizo nchi mbili? Naamini kutokana na uchu wa madaraka kwa baadhi ya watu. Ukiona mambo yanazungumziwa saana ujue zaidi ni tamaa ya madaraka
 
madaraka yapi? Ya kumpokonya rais wa zanzibar urais ili abakie kuwa makamu wa rais wa muungano au? Hakuna wanozunguka kuuvunja muungano. Upi? Haukuwahi kuwepo kwani wananchi hawakuhusishwa kwa namna yoyote zaidi ya usanii tu. Kama upo, watuonyeshe hiyo hati ya uwepo wake. Isitoshe watu wa leo siyo wale wa enzi zile waliozoea kutukuza mawazo ya mtu mmoja. Watu wanataka muungano wenye manufaa kwa pande zote na siyo huu uliopo. Tanganyika kwanza muungano baadae sana.
 
Teh teh teh zanzibar vunjeni basi huo muungano fasta muone kitakachofuata.chakula hamlimi hivyo mtalipa dola,umeme mtalipa dola, uraia fasta mtatulipa dola maana lazima mje kucheki msosi,vyuo vikuu mtakuja kusoma kwa dola, bila shaka askari wetu watakuja kulinda amani maana mnavyobaguana lazima mpigane hivyo makamanda wetu watalipwa dola,zile nafasi 1000 wanazopewa waznz katika vyuo vikuu watapewa watanganyika,lazima mtarudisha mashamba yote mnayomili huku bara yaani pesa yenu itakuwa ya mugabe.wembe mkali
 
Jamani ukweli umeelezwa serikali mbili ililenga kuja na serikali moja miaka hamsini hakuna dalili ya serikali moja kutokea njia na muarobaini pekee ni huo wa serikali tatu. Mambo ya Nyerere na Karume yanatoka wapi maana hawaishi sasa na sisi ndio tunaishi sasa CCM angalieni mwisho wenu unawadia endeleeni kung'ang'ania Zanzibar inajitenga hiyo.
 
Bila kusahau kuwa utalii zanzibar utakufa fasta maana al shabab watapiga hodi fasta bila kusahau kuwa bandari ya bagamoyo na dsm ndizo zinazotegemewa na rwanda,burundi,drc,zambia na malawi yaani meli kubwa zote zinatia nanga tanganyika wazo lenu la free port ni wazo mfu maana hakuna mfanyabiashara anayetaka kuingia gharama mara mbili. Kwa sababu zanzibar wametukera sana kujifanya wajuaji dawa yao inachemka sasa tunataka tanganyika yetu na wao kama wakiendelea kupiga kelele tunasema mtoto kalilia wembe huyo
 
Jaman wanasiasa hasa CCM lioneni hili ukipita mitani wat karib ya kupigana kati ya watanganyika na Wazanzibar nimepita pale wanapouza spea za gari shauri moyo duh mpaka nitalala bado nina hofu kama kwel wat hawatapigana kisa mungano.

Nilipita sehemu nikaambiwa Zanzibar hotuba ya Jaji Warioba zinauzwa kwenye DVD. Inaonekana Zanzibar wako serious sana na wanaongea wanachomaanisha!
 
Teh teh teh zanzibar vunjeni basi huo muungano fasta muone kitakachofuata.chakula hamlimi hivyo mtalipa dola,umeme mtalipa dola, uraia fasta mtatulipa dola maana lazima mje kucheki msosi,vyuo vikuu mtakuja kusoma kwa dola, bila shaka askari wetu watakuja kulinda amani maana mnavyobaguana lazima mpigane hivyo makamanda wetu watalipwa dola,zile nafasi 1000 wanazopewa waznz katika vyuo vikuu watapewa watanganyika,lazima mtarudisha mashamba yote mnayomili huku bara yaani pesa yenu itakuwa ya mugabe.wembe mkali

Hahahaha! kaka unachoongea sicho unachomaanisha! unaonekana una hofu na wasi wasi saaana endapo Muungano utavunjika, maneno yako ya vitisho na mikwara kwa Zanzibar unaonekana kama vile una presha kweli kweli duh hebu ondoa khofu Muungano hauvunjiki ndugu yangu , wazanzibari hawatetereki na hayo unayowatishia! punguza jazba Muungano upo tu !
 
Bila kusahau kuwa utalii zanzibar utakufa fasta maana al shabab watapiga hodi fasta bila kusahau kuwa bandari ya bagamoyo na dsm ndizo zinazotegemewa na rwanda,burundi,drc,zambia na malawi yaani meli kubwa zote zinatia nanga tanganyika wazo lenu la free port ni wazo mfu maana hakuna mfanyabiashara anayetaka kuingia gharama mara mbili. Kwa sababu zanzibar wametukera sana kujifanya wajuaji dawa yao inachemka sasa tunataka tanganyika yetu na wao kama wakiendelea kupiga kelele tunasema mtoto kalilia wembe huyo
jamaa ana wasi wasi huyu dah
 
mkwara huo nani anaogopa? kilaza wewe usiyejua dunia inaendaje! kwani huku bara mbona bajeti yenyewe inategemea wahisani c tuna bandari madini na takataka kibao?
 
Elias bosco hayazungumzwi madaraka hapa ila maisha ya watu, mkiwangangania Wazenji mtalipuliwa kwenye mabasi, hao wakubwa wa Lumumba wanasafiri na MaVX!!
Usidanganyike hao ndo wanangangania muungano uliokwisha kufa, wacha ushabiki Tumia akili, Tanganyika ndio jibu!!
 
Last edited by a moderator:
Muungano uwepo au usiwepo sio ishu! Ishu hapa ni TANGANYIKA yetu lazima ifufuke
 
Back
Top Bottom