Hali ngumu yaja: TANESCO - Press Release

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
We live in a country where there is always no backup systems. Bora liende tu.

See Attached:
 

Attachments

  • PRESS RELEASE-TANESCO.pdf
    1.4 MB · Views: 375
Mbona hawaeleweki?.....upungufu ni 200MW au 350MW?.........Halafu kati ya 23 Mei na 26 Mei umeme utakatwa mchana au asubuhi?.....nchi hii vije jamani?....tuko palepale na dharura toka 1992?
 
Mbona hawaeleweki?.....upungufu ni 200MW au 350MW?.........Halafu kati ya 23 Mei na 26 Mei umeme utakatwa mchana au asubuhi?.....nchi hii vije jamani?....tuko palepale na dharura toka 1992?

nashindwa kuelewa ni vipi serikali inashindwa kumbana muwekezaji kwamba kama anataka kufunga mitambo ya kufua umeme, lazima ahakikishe anatengeneza na backup system pia.

yaani mzungu akija na mabrifkesi ya hela, viongozi wetu wanaangalia zaidi hizo hela kuliko ubora na umadhubuti wa mradi husika.

hii ni mbaya sana kwa nchi yetu.

tunahitaji mabadiliko kwa kweli.
 
Leo ni tarehe 10/5/2011 tayari kata kata imeanza au hii haina husiano na tangazo hili?
 
Kinachofurahisha kuhusu Bongo ishu kama hizi huwa zinaonekana eti ni bahati mbaya, JK is doing a good job
 
Hayo nilishayaeleza siku nyingi sana humu jamvini, na pia nilishaeleza athari ambazo nilitarajia zitatokea. Niliwahi kuanzisha thread karibu 3 ambazo zilizungumzia jinsi hao Pan Africa Energy wanavyotafuna pesa bila kufanya matengenezo ya visima.
Kama mtu alifuatilia kwa makini thread zangu ujio wa giza hili nilishatabiri kuwa utakuja tena katika mazingira haya haya.

Tatizo kubwa la JF hatujadili ishu hadi pale inapotokea. Tatizo lingine ni mods wa JF na hamisha hamisha zao.

Cheki hapa:
https://www.jamiiforums.com/habari-...hwa-mitambo-ya-dowans-haitazalisha-umeme.html

Halafu nawaomba mods wairudishe ile thread iliyosema "Wanaosababisha mgawo wa umeme hawa hapa" kila kitu nilikieleza humo.
 
Kabla ya katakata yenyewe tayari mgao ni tatizo. Je hiyo katakata ya mwezi nzima italapoanza itakuwaje? Sometimes unaweza kujikuta unajuta kuzaliws tz
 
Viongozi wa ccm na serikali yao mafisadi wakubwa yaani mvua zote eti mtera imejaa 30 cm,nawaomba wananchi wenzangu kuanzisha maandamano barabarani nchi nzima ya amani kupinga uonevu huu ndani ya nchi yetu.Yaani pasipo aibu wanajiandaa kukodi mitambo kupunguza makali ya umeme wakati wa kiangazi hii inatia hasira kuona wameshindwa kupata suluhu ya kudumu hakika ccm wameinajisi nchi yetu vya kutosha tuwaondoeni sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kuzima mitambo kwa ajili ya ukaguzi na ukarabati? sijui wataalamu tofauti na wa tanesco wanasemaje lakini naona siyo jambo la kujivunia kwa sababu umeme ni kama uhai wa taifa

Katika paragraph mojawapo amesema hv namnukuu....... Aidha kuanzia trh 23 mei 2011 mchana mpaka mpaka 26 mei 2011 mchana mgao wa umeme utakuwa mw 300 kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 5 usiku na mw 50 kuanzia saa 5 usiku hadi saa 2 asubuhi

Hii inamaanisha hizo mw ndizo zitakazopungua au tutagawiwa watumiaji wa umeme?

Halafu jamaa bado wanaongelea mitambo ya kukodi ya dharura kwa nini
 
Mitambo ya kukodi ya dharura si ndio dili lenyewe, au kwa lugha rahisi ni ndo mission town ya wajanja serikali ( tena wale wakubwa)
 
Leo ni tarehe 10/5/2011 tayari kata kata imeanza au hii haina husiano na tangazo hili?

Ndio imeshaanza hivyo. Arusha kuna maeneo toja ja saa nne usiku mpaka saa hii. Kuna Menagers Tanesco, Minister, PS, naibu PS and several directors kazi kweli kweli. Ooh wako kwenye semina elekezi
 
Nafikiria sijuhi hii nayo tutaendelea kuona kama bahati mbaya ama mara hii watanzania wataweza kufanya kile kinachotakiwa kufanywa,hii ni laana japo sielewi kama nchi ndo imelaaniwa ama watu ndo tumelaaniwa
 
Kwenye swala la umeme serikali imechemsha big time!!

Yani kama ukisikia kuvua samaki kwa mkono ndio hapo eti MKUKUTA, my foot!!!!
 
Ili Tanganyika iendelee inahitakia kiongozi kama mimi,...
mwenye kusimamia sheria bila kupindisha hata inchi moja,...

One mistake,one bullet
 
Viongozi wa ccm na serikali yao mafisadi wakubwa yaani mvua zote eti mtera imejaa 30 cm,nawaomba wananchi wenzangu kuanzisha maandamano barabarani nchi nzima ya amani kupinga uonevu huu ndani ya nchi yetu.Yaani pasipo aibu wanajiandaa kukodi mitambo kupunguza makali ya umeme wakati wa kiangazi hii inatia hasira kuona wameshindwa kupata suluhu ya kudumu hakika ccm wameinajisi nchi yetu vya kutosha tuwaondoeni sasa.

Taratibu, power shortages which are currently ongoing can't be solved by having CDM or CUF right now...

Mtera is not full simply because the rains you see raining everywhere aren't raining there! So the level is going down and Mtera has the biggest reservoir than any of the other 4 dams!!

Much as TANESCO generate power thru gas IT DOESN'T OWN it!! Panafrican and TPDC does! We must understand that hydro and thermal generation are now at 50\50 so even if plants are available , gas has to be available too..and sadly that's beyond the parastatal's powers,

Can we now discuss how we can control visima vyetu vya gesi wenyewe and do aLl those PM's ourselves ?
 
Back
Top Bottom