Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 878
Kwenye swala la umeme serikali imechemsha big time!!
Yani kama ukisikia kuvua samaki kwa mkono ndio hapo eti MKUKUTA, my foot!!!!
Kaka umesikia Japan wametangaza loadshedding for the next 2 years ? ...naomba tukijadili hali ya umeme tuangalie na kasi ya serikali kuijengea uwezo shirika kwa kuongeza vyanzo vya uzalishaji umeme...