Wakati haya yanaendelea na hiyo press release yao, watu bado tupo kwenye mgao wa umeme.
Kwa mfano leo mitaa ya nyumbani kwetu tutakuwa na mgao kuanzia saa 12 jioni hadi saa 5 (lakini most of the time kwenye mgao wa umeme wa usiku, hawa jamaa sijui kama wanajisahau au laa, huwa wanarudisha siku ya pili asubuhi, inshort mgao wa usiku huwa ni usiku mzima, jana mgao ulikuwa mchana.)
I wish Tanesco wangetoa press inayoelezea hali iliyopo sasa, na huo MGAO MKALI wanaodai utakuwa, na hali itakavyokuwa baada ya hayo matengenezo, Maana kwa maisha ya umeme ninayoishi sasa, me naona hamna mabadiliko zaidi ni kuwa sasa mgao utakuwa ni masaa 24.
I am siki endi tayadi withi thisi kantri.