Hali ngumu sana huku mtaani jamani

Hali ngumu sana huku mtaani jamani

Kacheze singeli ya bavicha magoti na waambie wakupe mataputapu ulewe usahau shida zako kama bavicha magoti wafanya vyo
Batakazi siju kazibata crazy psychopaths

"HAPA KAZI TU"
73a6df92413fee83ae8c483e60972984-1.jpg
 
tarehe 4/12/......mtaani sisikii hizi nyimbo za "jingo beli jingo beli jingo olowayyyyy! hahahahaha! tumenyooka baba huku kazini kila mtu kanuna, mpaka 2025....sio leo zipo krismass dume kama 7
 
Kacheze singeli ya bavicha magoti na waambie wakupe mataputapu ulewe usahau shida zako kama bavicha magoti wafanya vyo
Batakazi siju kazibata crazy psychopaths
Mbona umeandika ungese* hivi, unajielewa kweli wewe?
 
Maisha mbona ya kawaida kabisa misosi ipo ya kutosha tena kwa Bei ya nzuri.unataka Nini zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom