Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,313
- 46,831
Kwahiyo maisha ni misosi tu??Maisha mbona ya kawaida kabisa misosi ipo ya kutosha tena kwa Bei ya nzuri.unataka Nini zaid
Kwahiyo maisha ni misosi tu??Maisha mbona ya kawaida kabisa misosi ipo ya kutosha tena kwa Bei ya nzuri.unataka Nini zaid
Mtani huko sipo kabisa mtaniUnazikataa leo mtani
Ova
Ndiyo maana aisee! Ulikuja na post ya kubeza mradi wa SGR kumbe wewe ni wa timu ileee!! Ukajifanya site engineer kwenye mradi wa SGR kumbe hata taaluma ya ufundi mchundo huna na wala hauko kwenye mradi. Wewe ni majanga sana!2020 twende na Membe
Mnaokula kwa mama zenu mna tabu sana sisi watafutaji ndio tunajua ugumu wa hali ngumu
2015 we chose to suffer. Choose differently come 2020!We are born to suffer in dube voice