englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana

Citizen Television wako live kwenye eneo la tukio masaa 24.Nimependa covarage ya Citizen Tv...
TBC wajifunze huku.....hawa jamaa wamejitahidi saana

Tanzania tunapaswa kuwa makini sana, kwani tukio kama hili linaweza kutupata pia. N a hii operation KIMBUGA sidhani kama hao waathirika kama wanaridhika nayo. Wanaweza jikusanya na kutufanyia ambush.
TBC wajifunze huku.....hawa jamaa wamejitahidi saana
jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana
Citizen Television wako live kwenye eneo la tukio masaa 24.Nimependa covarage ya Citizen Tv...
msichukulie mambo kirahisi hivyo, kumbukeni kuna watu wametekwa wapo ndani ya hilo jengo. Hata kama jeshi lingekuwa na uwezo bado inakuwa vigumu kuwatoa sadaka hao waliotekwa.jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana