kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana
Jeshi la Marekani vs Osama mbona ilichuka mda gani?
jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana
jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana
Osama hakua peke yake, Osama hakulipua Twin Towers mwenyewe, yeye alikua kiongozi wa Alqaida, marekani ilikua vitani na watu wengi ambao walikua wakimsikiliza Osama kama kiongozi wao, tuachane na hayo, bado jamaa zetu wapo weak hapo hakuna ubishi..siku ya tatu leo..itaendelea mpaka lini?? mwezi mzima??Jeshi la Marekani vs Osama mbona ilichuka mda gani?
msichukulie mambo kirahisi hivyo, kumbukeni kuna watu wametekwa wapo ndani ya hilo jengo. Hata kama jeshi lingekuwa na uwezo bado inakuwa vigumu kuwatoa sadaka hao waliotekwa.
acha utoto wewe.
kwa iyo jeshi liue tu bila kujali hostages waliopo ndani??
tumia akili.
Tatizo mateka, hivo jeshi haliwezi kutumia nguvu za ziada. Jeshi lina uwezo la kusambaritisha jengo zima.
jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana
Ukitumia akili ndio utajua kuwa kweli uwezo wa vyombo vyetu kwenye hii situation ni mdogo ni kwa kuukubali ukweli huu na kuusema kwa umoja wetu kuwa serikali zetu sisi haturidhishwi na uwezo huu wa kusumbuliwa na watu handfully!!!!!!
mkuu kama hujui masuala protection & rescue usiseme kitu mtu anapokuwa ametekwa lazma utumie akili ya hali ya juu sana ukijaribu kwenda pupa unawezakujikuta mateka wote wanauwawa................kinachofanyka nikuokoa maisha ya mateka na kuwakamata watekaji
hivi wewe uliona kikosi kilichoenda kumuu yule jamaa aliamua kushambulia watu ovyo huko marekani katika kambi ya NAVY..!!??jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana
jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana
unaongea sababu una mdomo?jeshi zima vs watu kumi,kenya baado saaaana
ukifikiria kwa undan utajua jins gan watz wanalalamika bila kuelewa hali ya mambo hebu rud nyuma kile kikundi cha SWAT cha ufaransa kiliwachukua mda gan kumtia nguvun yule gaid alijifungia ndan ya jengo?
Capt Tamar ndiyo wale watu wanaolaumu serikali kwa kila kitu na kutafuta umaarufu wa kisiasa kwenye matatizo wa watu wengine. Yaani hapo ameshawaza Kichadema jamani. Mimi nakubaliana na Daudi Mchambuzi, kumbuka watekaji hawana cha kupoteza alafu hawasemi wanachotaka kama tulivyozoea wanavyosema wanataka kiasi fulani cha fedha ama kitu kingine.
Mimi naisifu sana serikali na watu wa Kenya wamechukulia tatizo hilo kama tatizo la taifa siyo la serikali au chama fulani, rudia kusoma speech ya Raila Odinga jana. Sisi ungesikia Slaa anasema hawa ni CCM na wanajaribu kupoteza malengo na ICC, au Polisi ccm wametumwa kuiba kwaajili ya wakubwa. mara mall ni ya Rizone mara lile aani kimbeambea kisiasasiasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nawapa pole sana wananchi wakenya na wale wa mataifa mengine waliokumbwa na tatizo hili kwa namna moja ama nyingine wapo waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki, wapo waliojeruhiwa, wapo waliopata athari za kisaikolojia nk. Cha msingi ni kikosi maalumu kijipange kiwazuge maadui kwa stlye ya kuweka kambi na kuwaomba wawaachie mateka wawaahidi fedha nyingi kana kwamba zinatoka kwa ndugu wa mateka. Wakati jamaa wakijihami na kujadili kukubali kuchukua rushwa vijana makomandoo waingie kati na kuwamaliza jamaa kwa kuwapulizia dawa ya usingizi. Hii ndiyo style waliofanya warusi wachechnya walipoteka shule.

Heaven on earth TBC wanakopi vipindi kama vya chereko chereko.
Well said!Mara zote tahadhari ni muhimu, ila watakaothubutu kuja kufanya upuuzi kama huo hapa kwetu we shall set an example for the world to see. Chezea kitu kingine sio maisha ya mwana wa nchi hii much less by a foreigner.