Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Capt Tamar ndiyo wale watu wanaolaumu serikali kwa kila kitu na kutafuta umaarufu wa kisiasa kwenye matatizo wa watu wengine. Yaani hapo ameshawaza Kichadema jamani. Mimi nakubaliana na Daudi Mchambuzi, kumbuka watekaji hawana cha kupoteza alafu hawasemi wanachotaka kama tulivyozoea wanavyosema wanataka kiasi fulani cha fedha ama kitu kingine.
Mimi naisifu sana serikali na watu wa Kenya wamechukulia tatizo hilo kama tatizo la taifa siyo la serikali au chama fulani, rudia kusoma speech ya Raila Odinga jana. Sisi ungesikia Slaa anasema hawa ni CCM na wanajaribu kupoteza malengo na ICC, au Polisi ccm wametumwa kuiba kwaajili ya wakubwa. mara mall ni ya Rizone mara lile aani kimbeambea kisiasasiasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nawapa pole sana wananchi wakenya na wale wa mataifa mengine waliokumbwa na tatizo hili kwa namna moja ama nyingine wapo waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki, wapo waliojeruhiwa, wapo waliopata athari za kisaikolojia nk. Cha msingi ni kikosi maalumu kijipange kiwazuge maadui kwa stlye ya kuweka kambi na kuwaomba wawaachie mateka wawaahidi fedha nyingi kana kwamba zinatoka kwa ndugu wa mateka. Wakati jamaa wakijihami na kujadili kukubali kuchukua rushwa vijana makomandoo waingie kati na kuwamaliza jamaa kwa kuwapulizia dawa ya usingizi. Hii ndiyo style waliofanya warusi wachechnya walipoteka shule.
mkuu umeongea point na unafikir kwa undan zaid.........yaan kuna watu humu thnking capacity yao ni ndogo mno kaz yao ni kutoa lawama za kisiasa tu... Askar yeyote anapoteleza kaz yake na hasa uokoaji lazma atangulize nidham na high que wakat huo uhadar ukiwa nyuma wengne kaen kmya wanaume wanapofanya kaz