Hali hii ikiendelea Magufuli hapiti mwakani

Hali hii ikiendelea Magufuli hapiti mwakani

Kama hauamini hili angalia trend ya zoezi la uandikishaji hii ni dalili kua raia wana majonzi moyoni vijana mtaani wasomi hawana kazi wapo tu na serikali iko.. Hali ya biashara ngumu, democrasia ngumu
Siyo kweli
 
CCM hawashindi kwa kura za wananchi, WANASHINDA KWA WIZI WA KURA NA POLISI
 
Ni dalili tosha kwamba nguvu ya upinzani imeisha
Upinzani upo rohoni kwa sasa kwani wapinzani wa wazi CCM kutwa wanawabambikia kesi wanawapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali
 
Kama hauamini hili angalia trend ya zoezi la uandikishaji hii ni dalili kua raia wana majonzi moyoni vijana mtaani wasomi hawana kazi wapo tu na serikali iko.. Hali ya biashara ngumu, democrasia ngumu
'Dua la kuku halimpati mwewe'
 
Poleni sana na atapita tena kwa kishindo na uchaguzi utakuwa huru kabisa tena wa haki tena piga kura usipige ngoma iko pale pale ushindi wake
Hili ni dhahiri, ila watakuwa wamepata ujumbe hata kama wakikwiba au 'kupika matokeo'!
 
Siasa za mitandaoni zinawaangusha sana chadema....
Hapa kikubwa ni upinzani hawauziki...hivi mfano Dar, mtaa gani magufuli hajaugusa eidha kwa barabara au shule au hospitali kwamba upinzani wataenda jiuza wakaeleweka?
Kodi za wananchi ndizo hujenga barabara siyo hisani ya magufuli, CCM bila kuiba kura huwa hawashindi uchaguzi wowote wananchi wameamka hakuna cha siasa za Mitandaoni wanajua kila maigizo ya CCM
 
ki ukweli ni ruksa kujidanganya mwenyewe, hongera umetumia vizuri fursa uliyoipata

Back
Top Bottom