Hali hii ikiendelea Magufuli hapiti mwakani

Hali hii ikiendelea Magufuli hapiti mwakani

Mtoa maada pole ila kwenye akili na walio huru watakuelewa january mpaka march ntakuwa wengi
 
Wanasemema wanajiandikisha wapo wengi ni wajinga,hata chama cha mpira kinajua vila simba hamna yanga hata ukiwa kagera sugar utavisikia vielement vya simba au yanga ndani ya damu.kuna kipindi moja ilidora kushuka daraja ikabebwa na mbele zote viongozi wa FAT wakasema mpira uta kosa msisimko
Sisa hivyo hivyo hata kama ni ccm unatawala jukwaa bila amsha amsha ya wapinzani itakuwa mwenyewe kama mendawazimu.Game limekwisha simple mathematics
 
Siasa za mitandaoni zinawaangusha sana chadema....
Hapa kikubwa ni upinzani hawauziki...hivi mfano Dar, mtaa gani magufuli hajaugusa eidha kwa barabara au shule au hospitali kwamba upinzani wataenda jiuza wakaeleweka?
Unapigia kura barabara na njaa uipeleke wapi?
 
ushindi wa 2020 utakuwa haujawahi kutokea nchi tangu iumbwe ...ni kama kipindi cha mwalimu
 
sasa bila ya upinzani si angebweteka, Au hujui nini maana ya upinzani?
Siasa za mitandaoni zinawaangusha sana chadema....
Hapa kikubwa ni upinzani hawauziki...hivi mfano Dar, mtaa gani magufuli hajaugusa eidha kwa barabara au shule au hospitali kwamba upinzani wataenda jiuza wakaeleweka?
 
Upinzani upo rohoni kwa sasa kwani wapinzani wa wazi CCM kutwa wanawabambikia kesi wanawapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali

Acha uongo Nani kabambikiwa kesi. Hiyo Ni Mbinu yenu mpya Mnafanya Makosa then mkikamatwa mnasema kwa kuwa chama pinzani. Wewe ni Raia Kwanza kabla ya kua ccm au CHadema.
 
Poleni sana na atapita tena kwa kishindo na uchaguzi utakuwa huru kabisa tena wa haki tena piga kura usipige ngoma iko pale pale ushindi wake
Hivi hata huo mchujo wa pale Dodoma atakatiza? Maana kuna kila dalili za Jasusi kumgalagaza ili kupeperusha bendera.
Ni rahisi kuiba au kupora kura za NEC kuliko zile 3000 za Dodoma kama wale wazee wakilisimamia. Ndani ya CCM hawakuzoea ushindani hapo sasa!
 
Ingekuwa ni nchi ya demokrasia pevu Lissu ndio mtu pekee kwa sasa kutufuta machozi watanzania.Lakini bahati mbaya si usalama wala polisi wako upande wa ccm and they will do anything to protect ccm ibakie madarakan.
Labda Mungu atu suprise kama Gambia
Twende na Lissu 2020
 
Back
Top Bottom