Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,867
- 15,826
Wenyewe wanajiona wajanja[emoji2960][emoji2960]Siasa za mitandaoni zinawaangusha sana chadema....
Wenyewe wanajiona wajanja[emoji2960][emoji2960]Siasa za mitandaoni zinawaangusha sana chadema....
Kwani nani kakuambia watu hawajiandikishi labda wewe tuKama hauamini hili angalia trend ya zoezi la uandikishaji hii ni dalili kua raia wana majonzi moyoni vijana mtaani wasomi hawana kazi wapo tu na serikali iko.. Hali ya biashara ngumu, democrasia ngumu
Inapendeza. Kwa wapinzani wao kazi inkuwa rahisi.Wenyewe wanajiona wajanja[emoji2960][emoji2960]
Waaambieni makada wenu wanao kuja makazini kwetu kutusumbua waache kabla mambo hayaja haribiwaNani kakusumbua? Sisi tutapiga wewe endelea kulala!
Inapendeza. Kwa wapinzani wao kazi inkuwa rahisi.
Wewe una kazi gani? mtandaoni au?Waaambieni makada wenu wanao kuja makazini kwetu kutusumbua waache kabla mambo hayaja haribiwa
Ni kweli ni ngumu kuuzika,hebu basi waruhusiwe kufanya mikutano kama wanavyofanya ccmSiasa za mitandaoni zinawaangusha sana chadema....
Hapa kikubwa ni upinzani hawauziki...hivi mfano Dar, mtaa gani magufuli hajaugusa eidha kwa barabara au shule au hospitali kwamba upinzani wataenda jiuza wakaeleweka?
[emoji122][emoji1666]Nasikia serikali ya Somalia wanagawa magunia ya mchele, maharagwe na mbuzi kwa kila familia kila mwezi...unaruhusiwa kuhamia huko
Wamiliki wa mafuso ndiyo kipindi chao Cha kuwasomba wana ccm kama magunia ya viazi kutoka njombeInapendeza. Kwa wapinzani wao kazi inkuwa rahisi.
Poa tu as long as ufipa hii ya kina nyie wanaendelea kuwa chama cha upinzani cha serikali. Poa tu.Wamiliki wa mafuso ndiyo kipindi chao Cha kuwasomba wana ccm kama magunia ya viazi kutoka njombeView attachment 1231965
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha tu aisee,ila namisi sana amsha amsha za miaka ya 2015 kushuka chini.sema ndio hivyo....wameshikwa pabaya[emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Yalishazimwa siku nyingi na uzi uliletwa humu ya wahusikaSitaki kuandika mengi kuna yaliyo jikoni yanakuja
Ili na wao wajiandikishe kufunzwa kuogeleaNimesikia bongo mpk viboko wanajengewa mabwawa?
Wasombeni hao wasiyo jitambuaPoa tu as long as ufipa hii ya kina nyie wanaendelea kuwa chama cha upinzani cha serikali. Poa tu.
Shauri zako usije kushangaa ukanikuta nakulipa mshaharaWewe una kazi gani? mtandaoni au?
Wewe lazima utakuwa kwenye top ten ya watu wasiojielewa JF...Poleni sana na atapita tena kwa kishindo na uchaguzi utakuwa huru kabisa tena wa haki tena piga kura usipige ngoma iko pale pale ushindi wake
Nikigundua najihuzuru siku hiyo hiyo siwezi kulipwa mshahara na vuvuzela kama wewe mkuu! Narudi kijijini kulima pamba!Shauri zako usije kushangaa ukanikuta nakulipa mshahara