JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,995
- 2,044
hoja kubwa bungeni nyakati zile ilikuwa UFISADI NA UHUJUMU UCHUMI hayo yote awamu ya tano imeenda nayo vizuri sana ingawa namlaumu sana Magufuli kwa kuwaacha wahujumu uchumi wengi nje ya magereza na ndio wanao mchafua muda wote wakitafuta cheap popularity kwa watu wenye akili ndogo zenye maarifa.Ningekuwa mm ni magufuli ningefanya amendment ya katiba yetu ili wasiogusika kama maraisi ambao uchafu wote wa kifisadi huanzia kwao waweze kuguswa kisawasawa na hapo ndio hao wanaosema kujimwambafy wangekiona cha mtema kuni.Enzi za mwl.Nyerere watu walikimbia nchi alafu watu leo wanatufanya eti hatujui kitu Mwl.alikuwa akikuita lazima utetemeke tu kumbe hapo kikwete asitudanyanye kabisa na asimtumie mwl.ili kufikisha uovu wake kwa watanzania.Mwl hakuwa wa kuchekacheka hovyohovyo kama wengine walivyokuwa wanachekacheka hovyohovyo tu kwa awamu walizo ongoza matokeo yake nchi ikaangukia pabaya.Watanzania tujifunze kutofautisha viongozi.kuna wanao kimbilia IKULU kwa sababu kuna biashara zao binafsi na kuna wanaokwenda ikulu kufanya kazi za watanzania.