barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Poa tu...kama inasaidia kuwafanya nyie upinzani feki muendelee kuwa wapinzani wa serikali, watasombwa tu.Wasombeni hao wasiyo jitambua
Poa tu...kama inasaidia kuwafanya nyie upinzani feki muendelee kuwa wapinzani wa serikali, watasombwa tu.Wasombeni hao wasiyo jitambua
Ndo maana mmeachiwa mjitangazie ushindi tatizo lenu ni nini hasa?Siasa za mitandaoni zinawaangusha sana chadema....
Hapa kikubwa ni upinzani hawauziki...hivi mfano Dar, mtaa gani magufuli hajaugusa eidha kwa barabara au shule au hospitali kwamba upinzani wataenda jiuza wakaeleweka?
Fyekelea upinzani feki kaburini....Ndo maana mmeachiwa mjitangazie ushindi tatizo lenu ni nini hasa?
Kama wanajiandikisha kwa nini Rais anapiga kelele? Na Jaffo kaongeza muda wa kujiandikisha ili iweje?Kwani nani kakuambia watu hawajiandikishi labda wewe tu
Mbona Unawashwa sana wewe kulikoni?Wewe una kazi gani? mtandaoni au?
Upinzan feki unaujua wwFyekelea upinzani feki kaburini....
Mnafyeka nini na mmeachiwa mjitangazie ushindi?Fyekelea upinzani feki kaburini....
Kama ni hivyo basi nina imani misururu itakuwa mirefu sana Dar ya kujiandikisha ili kumwonesha tais kipenzi jinsi wanavyomuunga mkono.Siasa za mitandaoni zinawaangusha sana chadema....
Hapa kikubwa ni upinzani hawauziki...hivi mfano Dar, mtaa gani magufuli hajaugusa eidha kwa barabara au shule au hospitali kwamba upinzani wataenda jiuza wakaeleweka?
Hawa ni wapumbavu eti kubwa la majinga anaona tatizo lipo kwa wakuu wa mikoa, umeona jinsi nchi ilivyopata kiongozi wa hovyo?Tatueni tatizo ni kwanini watu wamegoma kujiandikisha
Hawa ni wapumbavu eti kubwa la majinga anaona tatizo lipo kwa wakuu wa mikoa, umeona jinsi nchi ilivyopata kiongozi wa hovyo?
Kuna mwingine kaja siku 3 zilizopita eti anakopa sh 4m, amekwama kabisa. Mara ya kwanza nilimsaidia laki 5, sikuwa namfahamu. Siku moja naangalia kwenye avatar yake ya whatsap nikakuta jembe na nyundo. Nilipowauliza marafiki zake wa karibu wakaniambia kuwa ni mfia chama na mkuu wa malaika. Nikamsikitikia sana.Shauri zako usije kushangaa ukanikuta nakulipa mshahara
Hahahahah mimi nili stop kumlipia bili ya matibabu nilipokuja kubaini kuwa kumbe ni CCM damu, ni bora nisaidie nyoka mnyama kuliko Binadamu CCMKuna mwingine kaja siku 3 zilizopita eti anakopa sh 4m, amekwama kabisa. Mara ya kwanza nilimsaidia laki 5, sikuwa namfahamu. Siku moja naangalia kwenye avatar yake ya whatsap nikakuta jembe na nyundo. Nilipowauliza marafiki zake wa karibu wakaniambia kuwa ni mfia chama na mkuu wa malaika. Nikamsikitikia sana.
Alivyokuja na ombi la mkopo wa sh 4m, jibu lilikuwa rahisi. Kama unavyojua, mambo ni magumu. Akatoka ametepeta.
Kwa nini wasema Dar? Kwa nini husemi dodoma?Kama ni hivyo basi nina imani misururu itakuwa mirefu sana Dar ya kujiandikisha ili kumwonesha tais kipenzi jinsi wanavyomuunga mkono.
Basí tulia, acha kulia lia kama wajua tumeachiwa.Mnafyeka nini na mmeachiwa mjitangazie ushindi?
Upinzani Wa chadema ya sasa na genge lake...haihitaji kuwa mtaalam wa sayansi kujua hili.Upinzan feki unaujua ww
Poleni sana na atapita tena kwa kishindo na uchaguzi utakuwa huru kabisa tena wa haki tena piga kura usipige ngoma iko pale pale ushindi wake