agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Jiji LA mwanza linatia aibu
Huoni kwamba Rwanda ni nchi inayojitegemea na ni rahisi kulicoveracha kujibweteka kwani hao majirani zenu rwanda hawajaguswa na nusu tajwa hapo juu.
vikwazo gani vya kielimu ikiwa karibia kila offisi mkoa wa kagera upo fresh? wanafunzi bora kitaifa wanatokaga kwenu acha siasa kijana
Unataka kusema wakazi wote wa kilimanjaro na vitongoji vyake mambo safi?Sio kilimanjaro... Hakuna njaa kule
UmekaririWasukuma wanaongoza kwa umasikini. Walichokijua ni kuzaana badala ya kuzalisha. Wabadilike. Mwanza, Simiyu, Geita ni maeneo yanayotia huzuni.
Ila pongezi nyingi ziende kwa Magufuli. Inaonekana kiwango cha umasikini (Adject poverty) kimepungua sana hasa kwa mikoa kama ya Kigoma ambayo kwa takwimu zilizopita umasikini ulikuwa kwenye 45%. Mikoa mingi yenye 35% kwenye riport iliyopita ilikuwa kwenye 40 something. Riport hii inatia matumaini kama ni ya kweli.
Aika Mbe 🙂)))))))Kwa mujibu wa hizi takwimu Kilimanjaro inaifuatia Dsm licha ya kutokuwa Jiji ni mkoa wa pili kwa ukwasi.
Halafu unakuta nyuzi humu ndani wenyeji wa Kagera ambao ni miongoni mwa mikoa mitano maskini zaidi wakijipambanisha na Kilimanjaro ili hali hata Dodoma hawaifikii...
Hizi ni aibu hizi...
Walikuwa wanatoa zamani ila siku hiz wameacha.NBS waende mbali na kutoa hizi takwimu kama hizi kiwilaya. Mikoa ya Tanzania ni mikubwa na kuna tofauti kubwa ya vipato na ukwasi kati ya wilaya za vijijini na wilaya za mjini. tuache kufanya makosa kama inavyofanyika katika kutafuta GDP,GNP na PCI.
AISEE KILIMANJARO BIG UP NA NJOMBE PIA. SIKUTEGEMEA MWANZA INGEKUWA KATIKA WASTANI 30!!Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Imetoa taarifa kama inavyoonekana
View attachment 1142323
View attachment 1143342
Na chini ni TAKWIMU RASMI ZA HALI YA UCHUMI TANZANIA BARA 2012-2018
View attachment 1142638
KWA UJUMLA:
Kwa mujibu wa takwimu mpya za mwaka wa kizio wa 2015, Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2018 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 6.8 mwaka 2017.
Ukuaji huu ulichochewa zaidi na kuongezeka kwa uwekezaji hususan katika miundombinu kama vile ujenzi wa barabara, reli, na viwanja vya ndege; kutengemaa kwa upatikanaji wa nishati ya umeme; kuimarika kwa huduma za usafirishaji; na hali nzuri ya hewa kwa ajili ya kilimo.
Sekta zilizokuwa na viwango vikubwa vya ukuaji ni pamoja na:
Sanaa na Burudani iliyokua kwa asilimia 13.7;
Ujenzi (asilimia 12.9);
Uchukuzi na Uhifadhi mizigo (asilimia 11.8); na
Habari na Mawasiliano (asilimia 9.1).
NISINGEPENDA KUNUKULIWA BIASLY ILA WATU WA KAGERA WANAPENDA KUSOMA ZAIDI, WANGEKUWA NA UPENZI WA BIASHARA NA KUSOMA PIA KAMA MIKOA YA KASKAZINI, PWANI NA MAGHARIBI KUSINI KAMA NJOMBE NA MBEYA WALAU WANGEKUWA NA UTHAMINI WA KUENDELEZA MAENEO YAO ASILI WALIYOTOKEA KAMA WAISHIO MIKOA HII NA KUTOISHIA MIJINI NA NJE YA NCHI KAMA WANAVYOPENDA KUJIGAMBA KILA MARA.Ebwana eeh hawa ndugu zetu wa Kagera na kujisifu kote huko Bado mkoa wao ni maskini kiasi hichi ?
Mkoa wa kagera unapata mvua za kutosha, wapo karibu na nchi kama Rwanda na Burundi plus kuna Ziwa victoria na mto kagera hivyo shughuli za uvuvi , kilimo n.k zinashamiri kwa urahisi!!
Hawa ni wavivu au kuna shida gani ?
Wanapitwa na mikoa yenye ukame kama Singida na Dodoma kweli?
Sasa kwa hali hiyo hao wenyeji wa Kagera wangekuwa mikoa mikame nusu jangwa si ingekuwa aibu zaidi....
FOR REAL THEY MUST RECONSIDER KILIMANJAROKilimanjaro ilitakiwa iwe CITY.. Mji mdogo ambao haujawahi pata misukosuko ya aina yoyote , una rasilimali kibao na fursa za utalii zilizopo nje nje. Rasilimali watu iliyopo exposed ya kutosha and yet unaishi katika shadow ya Arusha.
Mji ambao una population density ya kutosha, Hali ya hewa nzuri na ardhi yenye rutba na bado Ni beautiful residential town ambayo inacheza na league za Moro. What a shame
FEDERAL GOVERNMENT LEADERSHIP IN AFRICA NI CHANGAMOTO SANA, GOOD EXAMPLE IS NIGERIA.Tuweke zones,kila zone ijitegegemee kimapato na matumizi,itawastimulate watu wa sehemu husika ku explore resources na opportunities zilizopo kwenye zone husika
TAKWIMU NI ZA MIKOA YA TANZANIA NZIMA ALAFU SIJAONA ZANZIBAR NA MAFIA ZIKIWA NA TAKWIMU!! SHAMEOfisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Imetoa taarifa kama inavyoonekana
View attachment 1142323
View attachment 1143342
Na chini ni TAKWIMU RASMI ZA HALI YA UCHUMI TANZANIA BARA 2012-2018
View attachment 1142638
KWA UJUMLA:
Kwa mujibu wa takwimu mpya za mwaka wa kizio wa 2015, Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2018 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 6.8 mwaka 2017.
Ukuaji huu ulichochewa zaidi na kuongezeka kwa uwekezaji hususan katika miundombinu kama vile ujenzi wa barabara, reli, na viwanja vya ndege; kutengemaa kwa upatikanaji wa nishati ya umeme; kuimarika kwa huduma za usafirishaji; na hali nzuri ya hewa kwa ajili ya kilimo.
Sekta zilizokuwa na viwango vikubwa vya ukuaji ni pamoja na:
Sanaa na Burudani iliyokua kwa asilimia 13.7;
Ujenzi (asilimia 12.9);
Uchukuzi na Uhifadhi mizigo (asilimia 11.8); na
Habari na Mawasiliano (asilimia 9.1).
Iko ivi kilimanjaro ni mkoa wenye wilaya saba zenye fursa tofauti. Mji wa njombe na makambako unayoona ni mikubwa ni sawa na wilaya moja ya rombo. Sasa Moshi unayoongelea wewe ni mjini au vijijini?Itaipita sio tu kwa index za umaskini lakini pia kwa gdp,ni mkoa unakuja kasi na una rasilimali zote ndio kwaanza zinaanga kuwa taped Sasa ukichanganya na wakazi wachapakazi acha kabisa
For your information mkoa una miji mikubwa miwili ya Njombe na Makambako tofauti na Kilimanjaro yenye moshi tuu the rest ni midium sized towns
Nazungumzia Moshi mji au manispaa,kwani kuna mji unaitwa moshi vijijini?Iko ivi kilimanjaro ni mkoa wenye wilaya saba zenye fursa tofauti. Mji wa njombe na makambako unayoona ni mikubwa ni sawa na wilaya moja ya rombo. Sasa Moshi unayoongelea wewe ni mjini au vijijini?
Fungu la maeneo yenye mvua za kutosha= uhakika wa chakula! 🙂View attachment 1142378
Sijui hawa wanaangukia kwenye fungu gani hapo