Hali bado tete jijini Mbeya

Kuna haja ya kuwaelimisha wananchi ili watofautishe sheria na siasa.

Serikali inakosea kuwapangia maeneo ya biashara?. No.

Possibly yes. Unajua kabisa biashara ni wateja. Bila wateja hakuna biashara. Kama wewe ni mfanya biashara halafu serikali ikupangie ukafanye biashara kwenye sehemu ambayo haina wateja utakubali kwenda? Ni swali tuu.
 
Possibly yes. Unajua kabisa biashara ni wateja. Bila wateja hakuna biashara. Kama wewe ni mfanya biashara halafu serikali ikupangie ukafanye biashara kwenye sehemu ambayo haina wateja utakubali kwenda? Ni swali tuu.

Asilani

Mkuu inauma sana kwamba Wamachinga wametengeneza soko I mean wanakisanyika na kufanya soko fulani kuwa Maarufu kwa maana ya kuwa na Wateja wengi, halafu unakuja unawaondoa kuwapeleka sehemu nyingine kwa minajili ya kujenga soko la kisasa ambalo vibanda/maduka wanagawana vigogo na kuwapangsihia wamachinga kwa bei ya Ulanguzi. Hii Haikubaliki Mkuu
 
Reactions: EMT
Kuna haja ya kuwaelimisha wananchi ili watofautishe sheria na siasa.

Serikali inakosea kuwapangia maeneo ya biashara?. No.

Pia ukumbuke tatizo la Mbeya ni unique zaidi kwa sababu masoko zaidi ya matatu yaliungua moto. Yote yalifungwa ili yafanyiwe ukarabati baada ya kuungua moto. Cha msingi serikali ingejitahidi wakamilishe angalao soko moja ili kupunguza makali ya maisha. Lakini unawafukuza watu mjini na masoko yamefungwa, what do you expect hasa katika kipindi hiki kigumu chama maisha?

Kwa mfano wanaosema serikali iwapeleke kule Nane Nane nani atakayenunua vitu huko? Unafikiri wananchi watapanda basi kuwafutata wamachinga huko? Mazingira ya kibishara hayaruhusu. Huko hakuna mauzo yatakayofanyika kwa sababu biashara inategemeana na uwingi wa watu. Wamachinga sio wanjinga kiasi hicho. They have got business skills as well.

Hata wawekezaji wa nje wanaokuja Tanzaniania wanaangalia kwanza maeneo ya kuwekeza. Sio tu wewe unaona eneo liko wazi halafu unasema panafaa kibiashara. Hapafai na ndio maaana hilo eneo liko wazi. Kama lingekuwa linafaa wamachinga wangekuwa wameshaenda huko bila hata kulazimishwa.
 
Wananchi walio kwenye mkutano wamekataa kata kata kumsikiliza mkuu wa wilaya ya Mbeya. Kwenye picha hapo chini anavyoonekana baada ya kukataliwa na wananchi walio kwenye mkutano.


Dah, anasikitisha lakini nani atamlaumu kama si yeye mwenyewe kujilaumu kwa kutokutumia busara ndogo tu ambayo ingeepusha watu wasiuliwe na police. Police nao pamoja na kuhudhuria mafunzo chuoni namna ya kuhandle usalama wa raia wanaua kabisa. Sijui ndo bangi, maana ingeeleweka walikuwa wanajihami kama wangekuwa wanapiga hata miguuni.
 
Reactions: EMT

Mungu Wangu..!!! Nakosa neno la kukuandikia! Anyway, God for bid you,!
 

Viongozi wetu hawataki tu kuwatumikia wananchi wako kimaslahi zaidi!! Kama manispaa inakusanya ushuru na imeweka kwenye vitabu kama vyanzo vya mapato, kwanini basi wasitandike Mwanjelwa Shopping Mall, Kabwe Complex Mall nk ili kukidhi mahitaji ya wamachinga huku wakilipendesha jiji kuliko kuwafanya watu waishi kama wakimbizi.
 
Reactions: EMT
Unatka kuniambia na soko jipya la Mwanjelwa mmesha lichoma? ama kweli nyinyi mafisadi.
 
Reactions: EMT
Kikao cha serikali na wananchi kimeisha. Mkutano umeisha kwa amani. Hizi ni latest pictures kutoka Mbeya.



 
Unatka kuniambia na soko jipya la Mwanjelwa mmesha lichoma? ama kweli nyinyi mafisadi.

Bahati mbaya Wikipedia haina article juu ya hili soko ungekuta tayari umeshakopi na kupaste hapa. 🙂 Halafu kumbe mafisadi ndio wachoma masoko eh?
 
Unatka kuniambia na soko jipya la Mwanjelwa mmesha lichoma? ama kweli nyinyi mafisadi.

We bıbı one day u gonna confess n beg for apology wıt dıs kınd of nonsense no one can gıv a damn shııt mot.rf..k!
 
sasa jana kilishindikana kitu gani kumuita sugu na kuongea na wananchi??,kulikuwa na umuhimu gani wa kupoteza risasi na mabomu,kutumia mafuta,kuumiza watu n.k wakati tunaweza kumaliza tofauti zetu kwa mazungumzo?ni nani aliyeamrisha kipigo kwa wananchi wa mbeya?
wakuu ifike wakati mtu mmoja awajibike au awajibishwe kwa manufaa ya wengi.kandoro hufai kuongoza mbeya mwambie JK akupeleke ukajaribu bahati kwenye mikoa mipya.mwenzako njolay alihamishwa hamishwa kama wewe nadhani mwisho wake umeuona,sasa ni bora "ukavua kabla ya kuvuliwa"
 
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/192112-hatimaye-mbeya-kumetulia.html
 
Mungu Wangu..!!! Nakosa neno la kukuandikia! Anyway, God for bid you,!

usimlaumu huyo gedo, ana mimba changa! kama genetics zisingeprove kuwa binadamu huzaa na binadamu tu, ningehisi ni ya mbwa wao!
 
Kikao cha serikali na wananchi kimeisha. Mkutano umeisha kwa amani. Hizi ni latest pictures kutoka Mbeya.




duh.,.!!naona unajituma kijana unatembea nalaptop kitaa.
Anakulipa bei gani Nduli willbroad?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…