Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Wageni wapo wengi saana South Africa....na kwa mtazamo wa haraka wameiharibu nchi..Tax wanauliwa, askari wanauliwa, wizi umetamalaki na biashara ya madawa ni kubwa na wanaoendesha yote ni wageni kwa kiasi kikubwa.

Kulalamika wanayo haki ila kuua binadamu wengine "hapana". Lakini sio Waafrica weusi tu hadi wazungu, wahindi na wachina wapo.
Kwani hakuna idara ya Uhamiaji.
Na vyombo vya ulinzi na usalama.
Ili kuwaondoa wageni wahalibifu.
Ni Kwamba Serikali imeanguka kwa kushindwa kutimiza wajibu wake na badala yake kuwatumia panyaroad.
 
Kwani hakuna idara ya Uhamiaji.
Na vyombo vya ulinzi na usalama.
Ili kuwaondoa wageni wahalibifu.
Ni Kwamba Serikali imeanguka kwa kushindwa kutimiza wajibu wake na badala yake kuwatumia panyaroad.
Upo sahihi...kuliko kuwaua watu walitakiwa kutumia sheria zao za uhamiaji.

Tusiishie hapa tujiulize pia kwanini imekuwa ngumu kwao kuweza kucontrol wageni wanaoingia.
 
Leo watu wanasema Mandela alikosea, Mugabe alivyo pora mashamba ya wazungu alionekana mbaya. Ila kanuni ya ulimwengu itatawala, yaani, misuguano ni muhimu ili kupata suluhisho. Hata hao wazungu popote walipo mambo yao hayakunyooka kama mstari. SA lazima ifanye uamuzi mgumu.
 
Washenzi sana hao ila watambue judgment day is soo close everywhere across the world
 
Hawajielewi.... kama aridhi yao yote inamilikiwa na weupe ambao ni asilimia 9 tu ya idadi ya watu South Africa unadhani wana akili? Hata Mandela anapewa heshima asiyostahili.... unabariki aridhi yote kuchukuliwa na watu milioni kadhaa hizi zote stress za maisha.
Wakati huo sisi waafrika tunamlaumu Mugabe kuirudisha ardhi kutoka mikononi mwa weupe kwenda kwa wazawa alifanya udikteta...
Zimbabwe mbali na vikwazo walivyonavyo wana nafuu kuliko SA wanaomilikiwa kila kitu na kuamua kuhamishia machungu kwa weusi wenzao.
Zimbabwe kielimu yule mzee alijitahidi sana kuondoa illiteracy rate kwa raia wake ..
 
Wakishamaliza kuwaondoa waafrika wenzao wataenda kwa wahindi,waarabu na wachina alafu baadae wataenda kwa wazumgu na mwisho kabisa watamalizana wao kwa wao.

Africans!


Africa No akili 😂😂😂 ndio maana wazungu wanatudharau,na kutufananisha na manyani
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.


Tumia akili kijana! Kuna nchi inayokaliwa na foreigners kama Emirates? Pale kuna kila taifa, wanigeria,Afrika kusini, Uganda, Kenya,Tanzania,Egypt,Morocco,Ethiopia na mataifa kibao wanafanya biashara pale na wengine kupewa uraia. Why hakuna huu upumbavu kama wanaoufanya manyani wa afrika kusini!!!!! Acha kutetea ujinga kijana, south mpaka imefikia hapo ilipo ni kwa juhudi za wageni na si wazawa. Majitu yenyewe hayajasoma, mavivu ya kazi alafu yanataka kuwapandilia wasomi!!!!


Kama na wewe ni msouth, jiandae muda wowote kurudi kwenu.
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.
Hujui ukisimamiacho. Jiulize swali dogo, kwa nini wasifurike tz? Yaani wau wajichukulie sheria mkononi ni kama hakuna serikali nawe unaona ni sawa tu? Kuna haja gana ya kuwa na serikali basi? Mtazamo wako ni mbovu mno, tena hauakisi nchi yenye uhuru kamili. Wao wanapaswa kupambana na serikali yao ili ishughulikie suala hilo, sio kupambana na raia ambao wengi ni waaminifu tu. Huu mtazamo wako nasikitika kusema ni wa hovyo kabisa
 
Kwanini tunadhani mauaji/Xenophobia yanayofanyika SA yatamalizwa kwa kuwakumbusha tulivyowasaidia kwenye harakati za ukombozi?

Hapa ndipo nina shida napo mimi...hawa wanashida wamekuwa wageni kwenye nchi yao..nchi yao imeharibiwa pia tulikubali hili.

Siwaungi mkono kabisa kuua watu.


Nikweri mkuu hata mimi siungi mkono mauaji yanayoenderea huko. lakini waache umama wafanye kazi. Kwanini wao tu! Mbona Morroco, Malawi, Zambia, Ethiopia na kenya wamejaa wageni na wanafanya shughuli nyingi but ha2kuckia ushenzi kama wafanyavyo wazulu!!!!


Nikuambie ki2 mkuu. Wazulu ndivyo walivyo kama watusi/wahutu na wakurya hawana tofauti. Mijitu mikatili,wivu na roho mbaya inawasumbua na ictoshe haitaki kujishughulisha na kaz yoyote.


I wish Mungu awaangamize wote wanaojihusisha na huo unyama!
 
Sasa hawa watu wanaouliwa why wasiondoke tuu??? Mtu unachomewa mpaka Duka lako why usiwaachie wenyewe nchi yao mamaee??? Nchi husika zitume usafiri wa ndege watu warudi tz na wakenya waende kwaoo waachieni Nchi yao mambwaa hayoo
 
Back
Top Bottom