Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Na wamesema watatia moto viwanja vya ndege, jameni sepeni hiyo nchi sio tena, ila ifahamike wakiwafukuza wageni weusi, baadaye wataanza kwa wageni wazungu, wahindi n.k. Kisha wajikute wanatafunana wao kwa wao.
Halafu serikali ipo kimya, hamna kikubwa wanafanya zaidi ya mabomu ya machozi.
 
Katika watu wapumbavu kabisa Duniani ni hawa Wasouth Afrika weusi. Kwa upumbavu wao wanaamini kuwa umaskini wao na tatizo la ajira vinasababishwa na wageni.

Wasichokijua, kadiri wageni watakavyopungua ndivyo umaskini wao na tatizo la ajira vitakapoongezeka maradufu.

Mgeni aliyeenda na mtaji wake akaanzisha biashara anasababishaje umaskini na tatizo la ajira kwa Msouth Afrika mweusi.

Hivi daktari bingwa aliyetoka Zimbabwe anasababishaje tatizo la ajira kwa kijana ambaye hana hata elimu ya msingi?

Mwanafunzi wa kutoka Tanzania anayelipa ada, anasomeshwa na wazazi wake anasababisha tatizo la ajira au anawatengenezea ajira wenyeji?

Huu upumbavu wa mtu mweusi sijui kama utakuja kwisha. Ndiyo maana mtu mweusi anadharaulika. Kwa wenzetu hawa inaonekana weusi hauishii kwenye ngozi bali mpaka kwenye ubongo.

Mandela aliteseka bure. Aliteseka kuondoa ubaguzi wa rangi, aliowapigania wameanzisha ubaguzi wa originity!
smarte_r
 
Nakubalina na wewe hapa.. 👇👇
Serikali ya Afrika Kusini inalo jukumu la kulinda maslahi ya hawa watu wake, hasa vijana. Inaelekea serikali hiyo imelala usingizi wa pono kabisa

Nakubali pia hili 👇👇
Serikali ya Afrika Kusini inao wajibu wa kulinda maslahi ya hawa vijana wake. Ni lazima ionekane inafanya

Ila hili 👇👇 HAPANA..
Leo hii tutawalaumu sana hawa vijana wa Afrika Kusini kufanya haya wanayofanya. Hebu tuwaze kwa dakika moja mkondo wa uhamiaji ubadilike, utoke Afrika Kusini na nchi nyinginezo kwenda Nigeria. WaNigeria watakaa kimya?
Hao wauaji hawawezi kuwa sahihi. Kama matatizo ni ya serikali yao kuruhusu uhamiaji holela kwanini wawaue wahamiaji.

Yani ni sawa na mwanamke malaya anayetanua hovyo miguu yake...anazalishwa hovo alafu dhambi na taabu waje wabebe watoto.
HAIPO HIYO.
 
Kuwasaidia kipindi cha ukoloni sio sababu ya kuwaharibia nchi yao.

Mambo wanayolalamikia ni mengi ambayo kimsingi sio mazuri kufanywa na wageni kwenye nchi ya wenyewe..lakini nalo haliwapi mamlaka ya kuua watu kama wanyama.... ni suala linalohitaji uweledi kulimaliza.
Watu kama wewe ndio chanzo cha matatizo duniani.
Una ushahidi wowote kuwa wanawaharibia nchi yao?
 
Wakishamaliza kuwaondoa waafrika wenzao wataenda kwa wahindi,waarabu na wachina alafu baadae wataenda kwa wazumgu na mwisho kabisa watamalizana wao kwa wao.

Africans!
Kwa wazungu hawataweza.Watachezea kichapo cha mbwa koko hadi waombe po!
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.
Huu ni ujinga kama si upumbavu.
Kama serikali imefeli,hakuna sababu ya kutoa hukumu kwa ujumla jumla namna hii.
Huwezi kuniambia mtu amefungua biashara ya duka halafu eti anauza na madawa ya kulevya wewe ukajua,serikali isijue ikamwacha tu.
 
Announcement to all All South Africans. President Cytill Ramaphosa, Minister Bheki Cele, Minister of Home Afairs Motsoaledi you have failed the country nizoyikhomba ibhenge yomile, Sizozibambela umthetho ngezandla akufe ofayo this is our Country our Ancestors died for that you are giving to Foreigners, As Amazulu Sithukuthele siganwe unwabu sizobulala kwasani , From the 09 September 2019 at 7am whole September .All Churches , Business , Schools that are run by Foreigners must be closed they will be fire and blood.

All the Tax Ranks will be closed , Hospital, All Departments to march to Homes affairs National and office of the President of Southafrica to take an urgent action against the removing all the foreigners in the country We will sleep even in the Mountains to fix this Country . The strike will go to all Provinces all cities,Township and villages .

Tax owners are taking charge now .If you are foreign you should have been by the border gate as now and Aiports will be busy for The whole September we are cleaning Southafrica now.

No foreigners from Nageria and Malawi,Tanzania, Congo, Ghana will be allowed in the aiports coming to Southafrica. All airports will be not operating whole September we are closing all gates and we will bunt down even the aiports in Southafrica.

If the President is not taking action they will be blood all over the world. Every Business whole September must be closed down include all their Internet Cafe stations especially Hillbrow, Down town Witbank,Point Durban ,South Beach durban,Sunnyside Pretoria, Kemptonpark, Yeoville,Jhb CBD, Capetown all over ,Nelspruit and Polokwane, We are killing and destroying all their business ,Shops for clothing.

We dont event want their Airlines to come to mzansi anymore. All places where they operate with Corruptions each street will be closed down .

Their flats will be burnt down ,their cars they will be killed , Till all foreigners are back to their countries. Each houses that have foreigners especially in Witbank, Nelspruit, Durban and Capetown and PE,Durban .look what Omotos and Bushiri Did to our Country. South African didn't not open Churches and Business in their foreign Countries .

All the freeway will be a closed down for business operators. All buildings, busines , Malls that will be operating from nextweek will be burnt down , Convoy to Pretoria. We are doing what the President Cyril Ramaphosa said # Thuma mina.We want to bring back the dignity of Southafrica not the place of Corruption and Drugs dealers .
Note

# They will be Blood and Death, Fire all all over until Southafrica is clean .Only if we are united and one this country will be clean . All foreigners Pack your staff and go within 48 hours.
# Thuma mina
# We are fixing Southafrica
# Drugs dealers must fall
# Corruption must end .
2020 Southafrica will be a place of Peace


All Tanzanians should come back home--- After they finish the issue of foreigners they will turn the same table to themselves, the table of tribalism, xhosa against Zulu and vise versa etc.

This time they don't see their tribal differences in presence of foreigners, let the foreigners go, the fire of tribalism will start to themselves------ that is the law of repercusion.

The end of SA is near, it seems even their leaders support them behind the scene.
 
Announcement to all All South Africans. President Cytill Ramaphosa, Minister Bheki Cele, Minister of Home Afairs Motsoaledi you have failed the country nizoyikhomba ibhenge yomile, Sizozibambela umthetho ngezandla akufe ofayo this is our Country our Ancestors died for that you are giving to Foreigners, As Amazulu Sithukuthele siganwe unwabu sizobulala kwasani , From the 09 September 2019 at 7am whole September .All Churches , Business , Schools that are run by Foreigners must be closed they will be fire and blood.

All the Tax Ranks will be closed , Hospital, All Departments to march to Homes affairs National and office of the President of Southafrica to take an urgent action against the removing all the foreigners in the country We will sleep even in the Mountains to fix this Country . The strike will go to all Provinces all cities,Township and villages .

Tax owners are taking charge now .If you are foreign you should have been by the border gate as now and Aiports will be busy for The whole September we are cleaning Southafrica now.

No foreigners from Nageria and Malawi,Tanzania, Congo, Ghana will be allowed in the aiports coming to Southafrica. All airports will be not operating whole September we are closing all gates and we will bunt down even the aiports in Southafrica.

If the President is not taking action they will be blood all over the world. Every Business whole September must be closed down include all their Internet Cafe stations especially Hillbrow, Down town Witbank,Point Durban ,South Beach durban,Sunnyside Pretoria, Kemptonpark, Yeoville,Jhb CBD, Capetown all over ,Nelspruit and Polokwane, We are killing and destroying all their business ,Shops for clothing.

We dont event want their Airlines to come to mzansi anymore. All places where they operate with Corruptions each street will be closed down .

Their flats will be burnt down ,their cars they will be killed , Till all foreigners are back to their countries. Each houses that have foreigners especially in Witbank, Nelspruit, Durban and Capetown and PE,Durban .look what Omotos and Bushiri Did to our Country. South African didn't not open Churches and Business in their foreign Countries .

All the freeway will be a closed down for business operators. All buildings, busines , Malls that will be operating from nextweek will be burnt down , Convoy to Pretoria. We are doing what the President Cyril Ramaphosa said # Thuma mina.We want to bring back the dignity of Southafrica not the place of Corruption and Drugs dealers .
Note

# They will be Blood and Death, Fire all all over until Southafrica is clean .Only if we are united and one this country will be clean . All foreigners Pack your staff and go within 48 hours.
# Thuma mina
# We are fixing Southafrica
# Drugs dealers must fall
# Corruption must end .
2020 Southafrica will be a place of Peace
.
 
hata sisi pia hawajaona kbs mchango wetu kipindi cha ukombozi


Kwa hiyo mliwakomboa ili baadaye muende kuwakalia jinsi mnavyowakalia???, waswahili wanasema tenda wema usingoje shukurani.
 
Acha ujinga, vyombo vya dola kama mahakama na polisi na hata idara ya uhamiaji(permit and visa issues) wafanye kazi yao. Marekani imejaa foreigners zaidi ya SA na kuna Mafia gangs zaidi ya SA lakini mambo yanakwenda kwa sheria.
Kuna illegal deals nyingi ndani ya SA zifanywazo na wazungu pamoja na Asians na hao ndiyo big time illegal dealers lakini hawataki hata kuwazungumzia just because kwao mtu wa race tofauti na muafrika ni superior na haingiliwi mambo yake.
Ardhi yao zaidi ya 90% inamilikiwa na wazungu tena ambao historically waliipora na wala hawakuinunua lakini hawaoni kama hilo ni tatizo linalowabana wao(weusi) kiuchumi kuliko viduka vinavyofunguliwa na waafrika wenzao, I've lived in SA na ninawajua mentality yao. Wanajiona ni bora kuliko waafrika wengine lakini kinachowashangaza na kuwauma ni pale wanapoona mtu amekuja na mtaji mdogo anaanza biashara na kufanya kazi kwa kujituma kama punda huku wakimdharau lakini baada ya miaka kadhaa wanakuta kimaisha ameshapiga hatua ambayo kwao ni ndoto. Nchi yao ilikuwa na crimes za kijinga sana back then miaka ya nineteen eighties and early nineteen nineties wakati foreigners ni wachache, ilikuwa kuchomwa kisu barabarani kisa tu wallet yako imetuna kwenye suruali ni kitu cha kawaida, gari unaendesha wewe watu pembembeni yako wanauziana then we unaviziwa kwenye robots(traffic lights) na wahuni wanalichukua huku mnunuzi anapelekewa likiwa na damu inatiririka au viatu vya mtu vimebaki na yote hayo yalifanywa na wazawa. Crimes ni kisingizio cha kitoto sana kwa anayeijua SA kabla haijawa na wageni wengi.
 
Sasa kama maoni yako ndio hayo, unaunga mkono nini sasa??
Wasafishe nchi yao kwa namna nyingine sio ya kuua watu. Sheria za uhamiaji zifanye kazi.

Wafanye azimio la Kwazulu natal/kama la Arusha.(hii itakuwa vita ya karne)
 
Watu kama wewe ndio chanzo cha matatizo duniani.
Una ushahidi wowote kuwa wanawaharibia nchi yao?
Ndiyo mkuu nimeyaona.

Kwanini watu kama mimi ndiyo chanzo cha matatizo Duniani?

Tunadhani xenophobia itaisha kwa kuwakumbusha SA tulivyowasaidia kwenye ukombozi wa ubaguzi wa rangi kisha tunawalaumu hwana shukrani kwa hili, kweli?

 
Back
Top Bottom