Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Tatizo hawathubutu kuwagusa wageni wazungu.
Binafsi ukiniuliza shida kubwa ya SA ni nini nitakujibu.

1. Waliruhusu nyenzo za uzalishaji kumilikiwa na wachache(weupe) hasa aridhi...hii itawala hadi mwisho wao.

2. Ni Waafrika wote tume/kukimbilia SA...taja nchi yoyote uijuayo Afrika utaikuta pale. Hivyo nyenzo aliyobakiziwa na hao wachache(weupe) anagawana na wageni.

Na weupe waliwezakuwa-brainwash kuanzia kwenye elimu sisi walau tulifundishwa zile land alienation tukajua tulipokwama tukakomboa vya kwetu.

Hivyo wao hawajawahi kufikiria kupigania vyao ila wanapigania walichobakiziwa.

Sasa ongezea wageni weusi ndiyo wanafanya makorokoro yote ya uovu...madawa, wizi, kubaka, kuua askari n.k..hasira zote wanahamishia kwao na wanaamini hawa ndiyo wanawafanya waishi kwa dhiki..ilihali kwa idadi yao hata wageni waondoke liichi lao ni limoja la nchi kubwa varani Afrika ila asilimia yao wengi hawana aridhi.
 
Wakishamaliza kuwaondoa waafrika wenzao wataenda kwa wahindi,waarabu na wachina alafu baadae wataenda kwa wazumgu na mwisho kabisa watamalizana wao kwa wao.

Africans!
Hapo ndo litakua kabuti lao walilochimba !!! Vita ya wazungu wahindi na wachina itaua kabisa uchumi wao !! Uchumi ukifa ndo wataanza kuangamizana wenyewe kwa wenyewe
 
Kuwasaidia kipindi cha ukoloni sio sababu ya kuwaharibia nchi yao.

Mambo wanayolalamikia ni mengi ambayo kimsingi sio mazuri kufanywa na wageni kwenye nchi ya wenyewe..lakini nalo haliwapi mamlaka ya kuua watu kama wanyama.... ni suala linalohitaji uweledi kulimaliza.
Wahindi,wachina,wazungu wao hawaharibu uchumi wa nchi yao?kwanini waue weusi tu?
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.
Wachina,waarabu,wahindi,wazungu mbona nao wapo wengi tu na wanafanya biashara ndogo ndogo tu .

Na Kwanini wasiandamane kuishinikiza serikali kubadili sera ya uhamiaji badala ya kuua watu weusi tu
 
Announcement to all All South Africans. President Cytill Ramaphosa, Minister Bheki Cele, Minister of Home Afairs Motsoaledi you have failed the country nizoyikhomba ibhenge yomile, Sizozibambela umthetho ngezandla akufe ofayo this is our Country our Ancestors died for that you are giving to Foreigners, As Amazulu Sithukuthele siganwe unwabu sizobulala kwasani , From the 09 September 2019 at 7am whole September .All Churches , Business , Schools that are run by Foreigners must be closed they will be fire and blood.

All the Tax Ranks will be closed , Hospital, All Departments to march to Homes affairs National and office of the President of Southafrica to take an urgent action against the removing all the foreigners in the country We will sleep even in the Mountains to fix this Country . The strike will go to all Provinces all cities,Township and villages .

Tax owners are taking charge now .If you are foreign you should have been by the border gate as now and Aiports will be busy for The whole September we are cleaning Southafrica now.

No foreigners from Nageria and Malawi,Tanzania, Congo, Ghana will be allowed in the aiports coming to Southafrica. All airports will be not operating whole September we are closing all gates and we will bunt down even the aiports in Southafrica.

If the President is not taking action they will be blood all over the world. Every Business whole September must be closed down include all their Internet Cafe stations especially Hillbrow, Down town Witbank,Point Durban ,South Beach durban,Sunnyside Pretoria, Kemptonpark, Yeoville,Jhb CBD, Capetown all over ,Nelspruit and Polokwane, We are killing and destroying all their business ,Shops for clothing.

We dont event want their Airlines to come to mzansi anymore. All places where they operate with Corruptions each street will be closed down .

Their flats will be burnt down ,their cars they will be killed , Till all foreigners are back to their countries. Each houses that have foreigners especially in Witbank, Nelspruit, Durban and Capetown and PE,Durban .look what Omotos and Bushiri Did to our Country. South African didn't not open Churches and Business in their foreign Countries .

All the freeway will be a closed down for business operators. All buildings, busines , Malls that will be operating from nextweek will be burnt down , Convoy to Pretoria. We are doing what the President Cyril Ramaphosa said # Thuma mina.We want to bring back the dignity of Southafrica not the place of Corruption and Drugs dealers .
Note

# They will be Blood and Death, Fire all all over until Southafrica is clean .Only if we are united and one this country will be clean . All foreigners Pack your staff and go within 48 hours.
# Thuma mina
# We are fixing Southafrica
# Drugs dealers must fall
# Corruption must end .
2020 Southafrica will be a place of Peace

In short it sounds like a purge. For this to be able to take place, it means powerful people in the government, security organs, businesses and ANC are the masterminds behind these plans to eject all foreigns from South Africa. .
 
Waliruhusu. Siku gani waliruhusu hivyo?
Wameruhusu leo na kesho wataruhusu maana ipo hivyo.

Takwimu zinazofahamika SA. Population 54 na zaidi

Weusi ambao ndiyo wanawaua wenzao ni asilimia 75 ya hiyo 54.

Weupe ukitoa coloured ni 9%.

70% na zaidi ya aridhi inamilikiwa na hawa 9%. Serikali ifanyacho ni kuwalipa wamiliki wa aridhi kuigawa kwa wananchi...kesi za uvamizi wa aridhi ni nyingi saana ni kwasababu hazitangazwi vilivyo.
 
Wahindi,wachina,wazungu wao hawaharibu uchumi wa nchi yao?kwanini waue weusi tu?
Kwanini tunadhani mauaji/Xenophobia yanayofanyika SA yatamalizwa kwa kuwakumbusha tulivyowasaidia kwenye harakati za ukombozi?

Hapa ndipo nina shida napo mimi...hawa wanashida wamekuwa wageni kwenye nchi yao..nchi yao imeharibiwa pia tulikubali hili.

Siwaungi mkono kabisa kuua watu.
 
Kweli vichwa vyao vina shida....hivi wahindi, wachina, warussi, waarabu...wamaeekani...siyo foreigners!?
hawafanyi kazi za kijinga kama wazamiaji wa kiafrika, hao mostly unakuta ni wawekezaji au wanafanya zile kazi za kitaalam ambazo weusi hawawezi kufanya bila kuharibu,,Huu ni ukweli mchungu
 
Hawajielewi.... kama aridhi yao yote inamilikiwa na weupe ambao ni asilimia 9 tu ya idadi ya watu South Africa unadhani wana akili? Hata Mandela anapewa heshima asiyostahili.... unabariki aridhi yote kuchukuliwa na watu milioni kadhaa hizi zote stress za maisha.
Mandela kaharibu ile nchi.
 
Liangaliwe hili
Wageni wapo wengi saana South Africa....na kwa mtazamo wa haraka wameiharibu nchi..Tax wanauliwa, askari wanauliwa, wizi umetamalaki na biashara ya madawa ni kubwa na wanaoendesha yote ni wageni kwa kiasi kikubwa.

Kulalamika wanayo haki ila kuua binadamu wengine "hapana". Lakini sio Waafrica weusi tu hadi wazungu, wahindi na wachina wapo.
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.
Kwa hiyo wewe umeona itakuwa sawa kabisa hata hicho wanachoenda kukifanya Sept 9
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.
Wachina kwani hawapo?
 
Back
Top Bottom