Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Nikweri mkuu hata mimi siungi mkono mauaji yanayoenderea huko. lakini waache umama wafanye kazi. Kwanini wao tu! Mbona Morroco, Malawi, Zambia, Ethiopia na kenya wamejaa wageni na wanafanya shughuli nyingi but ha2kuckia ushenzi kama wafanyavyo wazulu!!!!


Nikuambie ki2 mkuu. Wazulu ndivyo walivyo kama watusi/wahutu na wakurya hawana tofauti. Mijitu mikatili,wivu na roho mbaya inawasumbua na ictoshe haitaki kujishughulisha na kaz yoyote.


I wish Mungu awaangamize wote wanaojihusisha na huo unyama!

Na wanaoua albino Tz ni kabila gani?
 
Kimsingi South africa sio nchi ya Watu weusi kile wazungu ndo kwao kama Ilivyo Waarabu Egypt leo hii wale watu weusi japo wapo wengi lakini Rangi nyeupe ndo inatawala kwa maendeleo na kila kitu so Hawa jamaa hawana uwezo wa kumfukuza Mzungu ila wanaona bora wamfukuze mwafrika mwenzao wao wapate nafasi wanazodhani zimechukuliwa na Waafrika wengine... Ni akili za kipumbavu ila sasa Upumbavu huu bora Ungekuwa ujinga tungewaelimisha ila hawa wauaji aisee ni kuwaachia tu Nchi ***** hawa...
 
Nakubalina na wewe hapa.. 👇👇


Nakubali pia hili 👇👇



Hao wauaji hawawezi kuwa sahihi. Kama matatizo ni ya serikali yao kuruhusu uhamiaji holela kwanini wawaue wahamiaji.

Yani ni sawa na mwanamke malaya anayetanua hovyo miguu yake...anazalishwa hovo alafu dhambi na taabu waje wabebe watoto.
HAIPO HIYO.
Mkuu, mimi sishangilii hata siku moja mauaji ya binaadam wengine kwa sababu kama hii ya uhamiaji Afrika Kusini.
Na wala sisemi kuwa wako "sahihi" kujichukulia mamlaka ya kuwasumbua na kuharibu mali za wahamiaji.

Mfano huo niliotoa wa hao vijana wakihamia hovyo Nigeria una maana ya kuonyesha kuwa hata vijana wa Nigeria bila shaka watastuka, na huenda watafanya haya haya wanayofanya hawa wenzao wa Afrika Kusini.

Huo mfano una maana nzito zaidi ya ulivyouchukulia wewe.
 
Wageni wapo wengi saana South Africa....na kwa mtazamo wa haraka wameiharibu nchi..Tax wanauliwa, askari wanauliwa, wizi umetamalaki na biashara ya madawa ni kubwa na wanaoendesha yote ni wageni kwa kiasi kikubwa.

Kulalamika wanayo haki ila kuua binadamu wengine "hapana". Lakini sio Waafrica weusi tu hadi wazungu, wahindi na wachina wapo.
Kweny video sjaona mtu mweupe aliyepewa kisago
 
Kweny video sjaona mtu mweupe aliyepewa kisago
Hawawezi kuwapa kisago. [Wazungu walishawaandaa].

watu wa kusini wanavyowachukulia weupe utawashindwa...wanatukuza weupe kuliko na afadhali hawa wa Jozi, Natal na Mpumalanga wenzao sotho na tswana wangekuwa aggressive kama Mzulu hakuna mgeni mweusi angeonekana pale.
 
Wakati huo sisi waafrika tunamlaumu Mugabe kuirudisha ardhi kutoka mikononi mwa weupe kwenda kwa wazawa alifanya udikteta...
Zimbabwe mbali na vikwazo walivyonavyo wana nafuu kuliko SA wanaomilikiwa kila kitu na kuamua kuhamishia machungu kwa weusi wenzao.
Zimbabwe kielimu yule mzee alijitahidi sana kuondoa illiteracy rate kwa raia wake ..

Yes...Zimbabwe ni kipindi cha mpito tu hiki ila walau wana cha kushika viazazi kwa vizazi.
 
Ukiangalia na ukichunguza unakuja kugundua vyombo vyao vya usalama,vimejaa rushwa hata wakiwafukuza wahamiaji haito wasaidia kupunguza biashara ya madawa ya kulevya,ubakaji na mauaji,wakati vyombo vyao vya usalama vishaharibiwa na rushwa.

Alafu hata hawa wauza madawa ya kulevya wanao deal nao ni wale wadogo,ila wale wakubwa wanaoingiza mizigo ya maana hawaguswi sababu,vyombo vya dollar vyipo mikononi mwao.
 
Hawajielewi.... kama aridhi yao yote inamilikiwa na weupe ambao ni asilimia 9 tu ya idadi ya watu South Africa unadhani wana akili? Hata Mandela anapewa heshima asiyostahili.... unabariki aridhi yote kuchukuliwa na watu milioni kadhaa hizi zote stress za maisha.
Hiyo mijamaa kweli Ina matatizo
 
Na wanaoua albino Tz ni kabila gani?
Hayo mauaji ya albino bado yanaendelea tu?
Story za miaka 7 ilopita unazileta leo changia hoja current, albino walikuwa wanauwawa na ndugu zao wasukuma usukumani huko..
 
Mkuu, mimi sishangilii hata siku moja mauaji ya binaadam wengine kwa sababu kama hii ya uhamiaji Afrika Kusini.
Na wala sisemi kuwa wako "sahihi" kujichukulia mamlaka ya kuwasumbua na kuharibu mali za wahamiaji.

Mfano huo niliotoa wa hao vijana wakihamia hovyo Nigeria una maana ya kuonyesha kuwa hata vijana wa Nigeria bila shaka watastuka, na huenda watafanya haya haya wanayofanya hawa wenzao wa Afrika Kusini.

Huo mfano una maana nzito zaidi ya ulivyouchukulia wewe.
Mpaka hao wahamiaji haramu wajae katika nchi INA maana nchi haina serikali ya kushughulikia hilo?
Udhaifu upo kutoka kwa viongozi wao
 
Hamna taifa duniani ambalo lina watu wa peke ake
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.
 
Ustaarabu duniani ulianzia Africa Egypt
Kama wavivu hata Tanzania kuna wavivu wengi tu
kama kupenda starehe hata Tanzania kuna wapenda starehe
kama ngono hata tanzania kuna wazinzi wa kumwaga.
Sisi waafrika hatuumbwa kuwa wastaarabu hata siku moja. Mambo ya ustaarabu tumeiga kwa wazungu ndio maana yanatupa taabu.
 
Hayo mauaji ya albino bado yanaendelea tu?
Story za miaka 7 ilopita unazileta leo changia hoja current, albino walikuwa wanauwawa na ndugu zao wasukuma usukumani huko..

Waliokua wanachuna ngozi Mbeya walikua ni kabila gani?
 
Wanyakyusa na majirani zao sijui wanyiha, wandali, wawanji wanajijua wenyewe hao, unauliza swali tena?
Hawa watesi Wa bongo wako katika rate yenye tafsiri Fulani, wachuna ngozi walitaka utajiri, wauwa albino vivyo hivyo...
Ila wametuaibisha sana na better serikali ilikabili mauaji tofauti na South serikali haina habari mweh!
Waliokua wanachuna ngozi Mbeya walikua ni kabila gani?
 
Announcement to all All South Africans. President Cytill Ramaphosa, Minister Bheki Cele, Minister of Home Afairs Motsoaledi you have failed the country nizoyikhomba ibhenge yomile, Sizozibambela umthetho ngezandla akufe ofayo this is our Country our Ancestors died for that you are giving to Foreigners, As Amazulu Sithukuthele siganwe unwabu sizobulala kwasani , From the 09 September 2019 at 7am whole September .All Churches , Business , Schools that are run by Foreigners must be closed they will be fire and blood.

All the Tax Ranks will be closed , Hospital, All Departments to march to Homes affairs National and office of the President of Southafrica to take an urgent action against the removing all the foreigners in the country We will sleep even in the Mountains to fix this Country . The strike will go to all Provinces all cities,Township and villages .

Tax owners are taking charge now .If you are foreign you should have been by the border gate as now and Aiports will be busy for The whole September we are cleaning Southafrica now.

No foreigners from Nageria and Malawi,Tanzania, Congo, Ghana will be allowed in the aiports coming to Southafrica. All airports will be not operating whole September we are closing all gates and we will bunt down even the aiports in Southafrica.

If the President is not taking action they will be blood all over the world. Every Business whole September must be closed down include all their Internet Cafe stations especially Hillbrow, Down town Witbank,Point Durban ,South Beach durban,Sunnyside Pretoria, Kemptonpark, Yeoville,Jhb CBD, Capetown all over ,Nelspruit and Polokwane, We are killing and destroying all their business ,Shops for clothing.

We dont event want their Airlines to come to mzansi anymore. All places where they operate with Corruptions each street will be closed down .

Their flats will be burnt down ,their cars they will be killed , Till all foreigners are back to their countries. Each houses that have foreigners especially in Witbank, Nelspruit, Durban and Capetown and PE,Durban .look what Omotos and Bushiri Did to our Country. South African didn't not open Churches and Business in their foreign Countries .

All the freeway will be a closed down for business operators. All buildings, busines , Malls that will be operating from nextweek will be burnt down , Convoy to Pretoria. We are doing what the President Cyril Ramaphosa said # Thuma mina.We want to bring back the dignity of Southafrica not the place of Corruption and Drugs dealers .
Note

# They will be Blood and Death, Fire all all over until Southafrica is clean .Only if we are united and one this country will be clean . All foreigners Pack your staff and go within 48 hours.
# Thuma mina
# We are fixing Southafrica
# Drugs dealers must fall
# Corruption must end .
2020 Southafrica will be a place of Peace
Hawa wajinga wanaungana kuwamaliza waafrika (wageni) na biashara zao hawawagusi wazungu (kaburu) wanasahau kuwa kaburu kawekeza ktk nchi nyingi za Afrika, na wengine wanafanya kazi. Wale waafrika wa nchi zote wanaoendelea kuathirika na kadhia hii ya xenophobia ambayo inapatikana ktk kamusi ya S.A nao waungane kuwachapa, give full control of S.A back to the Afrikaners
 
Back
Top Bottom