Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Duuuh !!! Hii alert ni noma jamani... foreigners mmetangaziwa vita kamili
sepeni mapema bangugu hawana utani kabisa mna siku 2 tu kabla ya deadline nadhani mmewasikia wenyewe wanachoenda kukifanya hiyo Sept 9

Ila jamaa wana hasira kali hata sisi pia hawajaona kbs mchango wetu kipindi cha ukombozi
Kuwasaidia kipindi cha ukoloni sio sababu ya kuwaharibia nchi yao.

Mambo wanayolalamikia ni mengi ambayo kimsingi sio mazuri kufanywa na wageni kwenye nchi ya wenyewe..lakini nalo haliwapi mamlaka ya kuua watu kama wanyama.... ni suala linalohitaji uweledi kulimaliza.
 
Tatizo hawathubutu kuwagusa wageni wazungu.
 
Wakishamaliza kuwaondoa waafrika wenzao wataenda kwa wahindi,waarabu na wachina alafu baadae wataenda kwa wazumgu na mwisho kabisa watamalizana wao kwa wao.

Africans!
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.
 
Kuwasaidia kipindi cha ukoloni sio sababu ya kuwaharibia nchi yao.

Mambo wanayolalamikia ni mengi ambayo kimsingi sio mazuri kufanywa na wageni kwenye nchi ya wenyewe..lakini nalo haliwapi mamlaka ya kuua watu kama wanyama.... ni suala linalohitaji uweledi kulimaliza.
Em punguzeni mihemko na muweke akiba ya maneno aisee...

Tafuteni taarifa sahihi. Huyu ni mpuuzi mmoja tu na mbaguzi.
 
Baada ua hapo watahamia kwa makaburu wahindi na wachina hapo vita itakua kubwa na kali ila mwisho wa siku watageukiana wenyewe kwa wwenyewe na hapo ndipo lilipo kaburi la Wasauzi
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth.
Kama wavivu hata Tanzania kuna wavivu wengi tu
kama kupenda starehe hata Tanzania kuna wapenda starehe
kama ngono hata tanzania kuna wazinzi wa kumwaga.
Sisi waafrika hatuumbwa kuwa wastaarabu hata siku moja. Mambo ya ustaarabu tumeiga kwa wazungu ndio maana yanatupa taabu.
 
Back
Top Bottom