Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,311
Ameeeen
Ndio maana nilihuzunika sana! Hamu yangu kwako ilikuwa inamwagikia chini ati!!!?
yale maneno ya ile talaka futa kabisa
zile thread zilizonipeleka selo kwa nusu saa mbona sizioni!!
Nilikuona tu comments ulizo kuwa ukitiririka!
Ndio maana nilihuzunika sana! Hamu yangu kwako ilikuwa inamwagikia chini ati!!!?
Dah! vijana wa Rchuga mwaka huu mmepania kwa kweli
Ngoja niende kwa NTIBA wangu maana huku sipawezi lol!
Nasikia kumbe wewe ndie arafat ngumi jiwe