kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,580
- 18,952
ten watatu mfululizo......Bila ya kuzaa nae hapo hatuelewani.
ten watatu mfululizo......Bila ya kuzaa nae hapo hatuelewani.
kwan mpaka ufanye hvyo huyo mwanamke umemzaa ww??
nitakupenda mpka nakufa kwa stail hiyoo
imekaa poa namimi yakitokea mazingira kama hayo ntafanya hvyo.....
hahahhhahahh, nitakupmnimeipenda avatar yako. ni wewe huyo?.
Samaki mmoja akioza haimaanishi tenga zima limekwisha....usiogope kazana na majaribio ya kubahatisha kupata aliemkweliThubutu!!!!!! Siyo Nyie Wanawake na Madada Zetu Wa Kibongo Wa Sasa na Walioweza Ni Mama Zetu Waliotuzaa Ila Kwa Warembo wa Kuanzia 1975 hadi Leo 2014 Ni USANII na MAGUMASHI Kwa Kwenda Mbele na Hapendwi Mtu bali Ni Pochi tu.
by the way upofu+utumwa=mapenziten watatu mfululizo......
Jamani hawa watu mungu wao alishakufa kitambo sana wala usiwawazie sana kama akikupiga kibuti tafuta bwabwa weka ndani biashara inaendeleaKibuti? Kwani bastola bei gani?
Hahahaaa...yaan wewe ni mtundu balaa...sa si utamuumiza mwenzio