Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,394
- 1,816
WAKIFA INA KULA KWAO MAANA WAMETAKIA WENYEWE AISEE HATARII KWELI KWELI !! WASILAUMU !
Mi nafikiri ni ukosefu wa kivuko.Salaaale!!!sijui ni ukosefu wa elimu ama nini maana hapo wanakitafuta kifo.
Dah!!!mimi nilifikiri ni mafuriko ya unguja!!!Mmh!mbona na hao manahodha wanaonekana kama wadogo kiumri?Kigoma iyo
Hahahaaa hao wamesoma law of floatation na archemedes prinsple wapo mondo vibaya ndio maana wanafanya hayo aide hawa ni nomaSalaaale!!!sijui ni ukosefu wa elimu ama nini maana hapo wanakitafuta kifo.
Kila kitu kipo sawa hapo,,ndo tunafanya hivi kila siku