Hyo MTO ni mfupi ndo maana wanatumia miti kusukuma hyo mitumbwi!!miaka ya nyuma pale kyaka Maji yalifurika barabara maji yalifurika eneo kubwa sana kukawa kama ziwaalafu kulikua hakuna njia mbadala na kwa hali halisi serikali haiwezi kuwwka kivuko,kwa hyo ukitoka Uganda ilikua lazima upnde mtumbwi,na magari yalikua yakivushwa kama hivyo!!