Mimi sili ugali

Mimi sili ugali

Billion Dolar

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
1,449
Reaction score
3,278
Wazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapi
file_000000001fc0824385396d59910f05c1.png
 
Wazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapiView attachment 3662052
Watoto wa mama .. wakisha shika pesa kidogo tu wanaanza ku google madhara ya ugali.
 
Ugali wakukoboa ni makapi bora ule wali
Unapotoshwa ...siyo kwa kilimo cha sasa cha madawa ....ugali usiokuwa wa kukoboa ni hatari zaidi kwa afya ..shika haya maneno yangu ..kama vipi kula kande za mahindi mabichi au mahindi choma au ya kuchemsha ...yana afya kuliko huo ugali unao usifia kuwa siyo wa kukoboa
 
Baada ya habari yake ya kutokula ugali kuchuja ameona atumie ugali huohuo kurudi kwenye midomo ya watu. Mjini shule
 
Mbona ugali ni bora kuliko hata junk wanazozipenda?
Binafsi nikiona mtu anaagiza ugali huwa namowona mjanja
 
Back
Top Bottom