Halaf Utaskia Usisahau Ya Kutolea Jmn. Shubhaaamit.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
PicsArt_10-13-07.35.30.jpg
 
Mkuu nieleweshe sijaelewa kabisa

Mkuu si unaona hao jamaa wanavyuopata mateso yote hayo. Yote ni kujipatia senti kidogo ya kuweza kuendesha maisha yao ya kula siku.

Baada ya hapo anatokea mwanamke anamchuna jamaa kwa kumuomba amrushie japo shilingi elf 10. Lakini hiyo anaona haitoshi HALAF UTASKIA USISAHAU KUTUMA YA KUTOLEA.

Angejua watu wanateseka kwa muda gani kuipata hiyo hela angeridhika tu na hiyo elf 10 wala asingeuulizia hela ya kutolea kwa kweli.

You are welcome.
 
Back
Top Bottom