Usisahau ulipotoka, safari ni ndefu na huu ni mwanzo tu

jitwangabalogi

JF-Expert Member
Aug 8, 2018
329
387
Ninakukumbusha tu jamaa yangu, najua unakumbuka yote haya, sina uhakika kama utahitaji maelezo yaliyojitosheleza. Unayajua Fika!
  • Usisahau ulipotoka, safari ni ndefu na huu ni mwanzo tu.
  • Ishi, timiza kilicho moyoni mwako, usisahau yaliyowaangamiza uliowasinitch
  • Mwisho mwema, jitahid, omba, timiliza, hakuna Mpaka Kati yetu(tunajuana)
*Amani ya bwana Mungu wako, omba Sana iwe pamoja nawe
 
Back
Top Bottom