Hakuzaliwa hivi huyu

Hakuzaliwa hivi huyu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1417834572927.jpg
 
Hapo ilichobaki Ni kutoboa pua na ulimi...kitachofuata atavaa suluali yenye zipu nyuma Ili iwe rahisi watu kutwanga..pambavu Sana.
 
Nilijua mda sn kuwa hataweza kuwa mdada. Ama atakuwa teja
 
ukiona mwanaume anavaa nguo zina rangi za pink, orange na amejichubua na kupaka rangi nywele zake basi ujue huyo KISHA JIONGEZA
 
wenyewe wanajiita wasanii...
 
Shida iko wapi hapo? Nielimisheni jamani, mi naona kawaida tu
 
ukiona mwanaume anavaa nguo zina rangi za pink, orange na amejichubua na kupaka rangi nywele zake basi ujue huyo KISHA JIONGEZA

.... KISHA JIONGEZA! nipo msibani, nimecheka mpk waombolezaji wenzangu hawaniewlewi!
 
Na hizo mbwembwe zote, bado anakaa nyumba ya familia pale kino studio!
 
TIDnow anamla recho wa kizungu zungu hatareee
recho nae ataanza kula mi sigara mikubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom