Mkuu jarbu na na tecno CX camon hii nihabari nuingine ni zaidi ya sumsung uzijuazo kwisha habari yako
Mkuu kati ya tecno k7 na Tecno camon CX ip ni bora?Inategemea na matumizi yako mkuu...Kama wewe ni mtu wa kupiga , kupokea simu , Watsaap, Instagram na youtube Tecno sio mbaya saana as long as Speed na power sio issue saaana kwako.
Ila kama una matumizi mazito zaidi ya hapo yaani Games , Detailed photo shoot, kutumia App nyingi kwenye background kwa muda mmoja na matumizi mengine as long as speed na power kwako ni muhimu bhac Tecno haikufahi.
Na kwa hiyo biashara ya k7 (spark) na J3 hapo kweli uliingia mkenge , Atleast ungebadilishana na Camon Cx japo Tecno tecno tu
Unataka simu ya kudumu, watengenezaji unataka wafunge viwanda?maisha ni kusaidia na kusaidiwa usiangalie upande mmojahabari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha
Kweli aiseeUnataka simu ya kudumu, watengenezaji unataka wafunge viwanda?maisha ni kusaidia na kusaidiwa usiangalie upande mmoja
Atakua mjinga sana mtu anaeweza kutoa Common CX kwa samsung J3, unaijua cx vzr au?Inategemea na matumizi yako mkuu...Kama wewe ni mtu wa kupiga , kupokea simu , Watsaap, Instagram na youtube Tecno sio mbaya saana as long as Speed na power sio issue saaana kwako.
Ila kama una matumizi mazito zaidi ya hapo yaani Games , Detailed photo shoot, kutumia App nyingi kwenye background kwa muda mmoja na matumizi mengine as long as speed na power kwako ni muhimu bhac Tecno haikufahi.
Na kwa hiyo biashara ya k7 (spark) na J3 hapo kweli uliingia mkenge , Atleast ungebadilishana na Camon Cx japo Tecno tecno tu
Asilimia kubwa ya wachina wanatumia Fero/vinovo/huawei,sio rahis sana mchina kutumia iphone au samsung ni wachache sana,naifanya kaz hii ya simu nafanya na hawa watu na naenda kwao 4-5 kwa mwaka,so nawaelewa sana kuliko ww uliewaona postaHii ilikuwa pale Posta, kulikuwa na ufunguzi wa duka la Tecno na mgeni rasmi alikuwa Naibu waziri wa ujenzi na uchukuzi na endapo ukanunua simu yoyote unapewa zawadi.
Kulikuwa na wachina wengi sana ila cha kushangaza KATI YA HAO WACHINA AMBAO NDO MAAFISA WA TECNO SIKU HIYO HAKUNA HATA MMOJA ALIYEKUWA AKITUMIA TECNO, WOTE NI IPHONE NA SAMSUNG.
USHAHIDI HUU HAPA KWA BAADHI YAO.View attachment 734354
Nauza yangu huaweihabari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha
Zote ovyo tuMkuu kati ya tecno k7 na Tecno camon CX ip ni bora?
Mkuu nisaidie ktk kufahamu ubora wa betri mm najinunuliaga tu ilimladi limefitMe kwenye simu naangaliaga ubora wa betri tu mengine ntavumilia kuchaji simu mara mbili kwa siku sifanyi hiyo kazi
ww hakuna msichana anayeju 2mia cm lbda kuingia whatsapp fb na jamiiforum kama wwSijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
xana mi nnayo galaxy angu duos 2 gt 7582 iko frex& zaid c9 kwenye wepesi xema 2 storage ndo wameniua mwendo wa sd card 2 nazo co frexh apl kiw kweny sd cardTecno ni simu rahisi kibei Na rahisi kuharibika kulinganisha na simu nyengine