Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Mkuu, ila bado kuna Nokia, Sony, HTC, Google, LG n.k
 
Mkuu, wape darasa wape darasa wanafunzi wa Tecno. Wasipoelewa tuombe mods wawape Ban.
 
Tecno huko China huwa zinatengenezwa "for export only" ina maana hakuna raia wa China anayeruhusiwa kuitumia wala kuiuza ndani ya China sasa ulitaka wazitumie harafu wangerudije? Jamaa wanatutengenezea vitu feki harafu wanatuletea huku
Leo umenifungua macho mkuu, Tecno hata nchini kwao china haiuzwi?

Hahahahaahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!
 
Tecno zinatengenezwa kwa ajili ya soko (cheap market) la Africa..huzikuti Ulaya wala Northern America..Gsm arena yake ni utata mtupu!..mbona huawei zipo ok pamoja na kuwa ni made in China!Tecno bado sana mkuu!
Tecno ni UCHAFU mkuu
 
Nunua iPhone uwe tofauti.Tangu nimeanza kupata akili timamu nimetkua ninatumia iPhone.Mpaka sasa natumia iPhone.Sijawahi kujuta.Kwanza ni unique yaan unaweza kukuta kazini mko wawili tu wenye iPhone.Inaondoa usumbufu wa kuombwa chaja.Pia iPhone wanatumia watu wenye heshima na mwinekano nadhifu haijalishi iPhone 4,5,6,7,8 or x.Ukiwa na iPhone unaonekana wa tofauti
 
Tuletee hizo product zingine tuzipambanishe na Samsung S9, Iphone 8 n.k
 
Ushawahi kutumia Iphone?
 
Hahahahaha Mkuu nmekupa like sio kwamba naipenda Tecno ila kutokana na hiko kisa cha hapo hospitali.
 
Reactions: J C
Kila simu ina uzuri na mapungufu yake. Jambo la muhimu ni matumizi yako. Fuso haliwezi kuwa gari LA kusafirisha abiria.
Hahahahahahaahaha mkuu huo msemo wako una maana gani kwa watumiaji wa Tecno?
 
Mkuu, inaondoa usumbufu wa kuombwa nini?


Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Wewe umejaza app hiyo simu tena ram 1gb usiikashifu huwezi zitumia. Ukitumia simu angalia specs zake kwanza, processor speed na zipo core ngapi.


Wewe umejaza app na kila app inatafuna ram bado data zake zinakula storage, hujajaza personal files hapo. Unategemea nini kama siyo kuganda, hizo simu zipo poa ukiitumia kuendana na uwezo wake.
 
Umeanza kutumia smart lini yaani unaangalia mwonekano was nje pelusi ndani utajua ubola was cm
 
Leo umenifungua macho mkuu, Tecno hata nchini kwao china haiuzwi?

Hahahahaahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!
Haiuzwi mkuu ni kosa la jinai kukutwa inauzwa huko China,ndio maana hakuna hata Mchina anayeitumia hiyo simu ya Tecno
 
Haiuzwi mkuu ni kosa la jinai kukutwa inauzwa huko China,ndio maana hakuna hata Mchina anayeitumia hiyo simu ya Tecno
Unashauri nini kwa watumiaji wa Tecno humu ndani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…