Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Watu bwana, mtu ana Samsung ya Tsh. 250,000/= anamdharau mtu mwenye Phantom ya Tsh. 800,000+/= huu ni ulimbukeni kweli na kufata mkumbo. Ukweli utabaki Kwamba sumsung yako ya Tsh. 250000 mpaka chini ya Tsh. Laki nane haiwezi kufikia ubora wa phantom.
 
Watu bwana, mtu ana Samsung ya Tsh. 250,000/= anamdharau mtu mwenye Phantom ya Tsh. 800,000+/= huu ni ulimbukeni kweli na kufata mkumbo. Ukweli utabaki Kwamba sumsung yako ya Tsh. 250000 mpaka chini ya Tsh. Laki nane haiwezi kufikia ubora wa phantom.
Yaani mwanaume mzima utatoa laki8 kununua simu yenye jina tecno huoni kama unaibiwa
 
Suala la Simu kuwa na fingerprint unlock Haimaanishi kuwa Simu Hyo ina uwezo mkubwa....
Kinachomata ni Ram yake...
We ushaambiwa cm ina ram 1 gb unataka uingie fb, wasap, IMO, Messenger, google, Jamiiforum na kwingine at the same time... Lazima I stuck....
Cm ikiwa na ram ndogo Basi usiipigishe mzigo mpaka ikadata....
Wewe ndo mwenye matatizo.
 
Watumiaji wa Techno wote ninaowajua hua wanahasira kama wewe wakiwa wanaitetea SUPER BRAND TECHNO,hahah
Acha kuaribu biashara za watu kama aikufai nyamaza kwani samsung ndio sim mbona tulishapata habari zina tabia ya kulipuka
 
Mediatek hata Samsung Mediatek hata Samsung Mediatek wanatumia Samsung (Samsung j7 max), walishasema kwa nini hawauzi kwao (kuna ushindani mkali, uwezo kiuchumi sio sawa na huku
Kwan makao makuu ya tecno yapo wapi?
 
Acha kuaribu biashara za watu kama aikufai nyamaza kwani samsung ndio sim mbona tulishapata habari zina tabia ya kulipuka
Kama nilivyosema cheki mtumia techno ulivyokuja na hasira nyingi,hahah.

Ulishawahi kuona samsung yako/ya rafiki yako imelipuka?
 
tekno ni kampuni ambayo imekuja kukusanya mtaji ili siku waje kufanikiwa kupeleka bizaa zao bora kwa wazungu.
 
Pole sana. Tecno inajibu mahitajio ya average consumer na imesaidia sana mawasiliano kwa kiasi kikubwa Afrika. Asilimia kubwa ya walaji wanahitaji kuongea, kutuma text, kutumia messengers kama whatsapp, kusikiliza muziki, kurekodi sauti na kupiga picha za kawaida tu. Katika hayo tecno inaperform kwa kiwango cha kutosheleza soko. Pia suala la ukaaji wa chaji inaondoa haja ya kutembea na begi lenye power bank. So, kama wewe una matumizi zaidi ya hayo, tafuta top brands na si tecno.
 
Unalalamika ili iweje chukua hatua, nunua hiyo unaona inakufaa. Mim natumia tecno sijaona huo ubovu
 
Kaka njoo in box nikuuzie Samsung
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…