Watu wa "kafala" nyinyi, mtapoteza hali hiyo duni mnayoishikilia kwa hao wafugaji wenu.Mzee Kalamu punguza munkari siku imebaki moja jiandae kuingia barabarani ila uage familia yako
Jiandae kuwa mtu huru kuanzia Oktoba 29.
Watu wa "kafala" nyinyi, mtapoteza hali hiyo duni mnayoishikilia kwa hao wafugaji wenu.Mzee Kalamu punguza munkari siku imebaki moja jiandae kuingia barabarani ila uage familia yako
EEEeeenHEEEeeeeeh!Ameandika kitu kikubwa sana.
Nilicho elewa:
Anawasihi wenye uwezo wa kubadili mambo ndani ya state apparatus wafanye hivyo kabla kusubiri maandamano kupata legitimacy ya kuingilia Kati.
Wafanye kabla ili kuepusha damu za waandamanaji kumwagika. Huyu ana amini maandamano yapo na yanaungwa mkono na hivyo vyombo, Tena yanasubiriwa na hizo apparatus.
Disclaimer: Sijasema watu wa hizo apparatus wafanye alichopendekeza mleta mada.
I have family to take care...
Brief, and straight to the point!Kama akina Mandela kule Afrika Kusini wangekuwa hawako tayari kujitoa kwa matokeo yoyote yale [kifo, kifungo, kuishi uhamishoni, n.k.,], si ajabu Apartheid ingekuwa bado inaendelea huko Afrika Kusini.
Inafikia wakati watu lazima mchore mstari na kukubali kuwa kutakuwepo na gharama ya kulipa.
Bila hivyo, hakuna chochote kitakachobadilika.
Usitafute huruma.Huyo jamaa ana label ya members, uwa hasomi hoja zao. Yeye anaandika based on his labelling na kutafuta ugomvi tu.
*** you 🖕🖕Brief, and straight to the point!
No Nywinywi; Nywonywo or Nywunywu!
Not that you're getting any clever to deserve credit for what is written in that posting!*** you 🖕🖕
This is an attempt at hoodwinking.Kama akina Mandela kule Afrika Kusini wangekuwa hawako tayari kujitoa kwa matokeo yoyote yale [kifo, kifungo, kuishi uhamishoni, n.k.,], si ajabu Apartheid ingekuwa bado inaendelea huko Afrika Kusini.
Inafikia wakati watu lazima mchore mstari na kukubali kuwa kutakuwepo na gharama ya kulipa.
Bila hivyo, hakuna chochote kitakachobadilika.