Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 322
Unaweza kusema kuwa wazushi wapotoshaji na wapinzani wa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake walikuwa wamejipanga zaidi kila kona kuliko ambavyo CCM na Serikali yake ilivyojipanga.
Laiti CCM ingeweza kuwatumia vizuri makada wake na watu wenye akili kubwa kama Profesa Kitila Mkumbo basi ni wazi labda ngoma ingekuwa Draw kati ya Upotoshaji dhidi ya Ukweli au Ukweli ungefunika Upotoshaji.
Msemaji Mkuu wa Serikali pamoja na timu yake ya Maofisa Habari, Elimu na Mawasiliano ndani ya taasisi za Serikali zilishindwa kabisa kutengeneza "team" ya Utetezi dhidi ya hoja muhimu ya uwekezaji wa Bandari ya Dar es salaam.
Maofisa Habari wa Serikali Mfano, Ofisa Habari wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji angeweza kujustify Uwekezaji wa DP World katika kukuza biashara na Uwekezaji Nchini hivyo kuweza kuisaidia Serikali kutekeleza mradi huo muhimu kwa Taifa.
Kurugenzi ya Mawasiliano- Ikulu ilikuwa likizo ya bila malipo wakati wote wa sakata hilo na kuonyesha uwezo mdogo wa kujibu na kumlinda image ya Mh Rais pamoja na Ofisi yake.Profesa Mkumbo pekee yake ndio mtu pekee aliyeweza kuibeba Serikali kwa kutoa maelezo ambayo yalikuwa wamenyooka zaidi Bungeni.
Kwa upande wa Chama pia kulikuwa na "vaccum"kubwa katika kujibu hoja baada ya Ofisi za Makatibu wa Siasa na Uenezi wa Mikoa na Wilaya nao pia walikuwa likizo katika kuisemea Serikali yao ya awamu ya Sita ya Mama Samia Suluhu Hassan.Sitegemei tena kuona ukimya wa watu hao(Makatibu wa CCM wa Siasa na Uenezi)Mikoa na Wilaya.
Kwa kifupi maelekezo ya NEC kwa Serikali kuongeza elimu kwa Umma kuhusu Mkataba huo yanathibitisha uwepo wa obwe kubwa la Mawasiliano katika taasisi kadha ndani na nje ya Serikali ya awamu ya Sita.Rais Samia Suluhu Hassan mara kadhaa amesisitiza kuwa Maofisa Habari wa Serikali watoke ",likizo" na kuanza kuisemea Serikali lakini wapi.
Nitashangaa kama hakutakuwa na mabadiliko ya haraka katika maeneo muhimu ya Mawasiliano ndani na nje ya Serikali.
Tulizidiwa sababu hatukuwa na watu strategic wa kucounter mashambulizi ya Wapotishaji walikuwa wamejipanga sana this time.
+255746826484.