Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Hilo ndilo uliloamka nalo, ULAANIWE
Yuko sahihi hayo mambo lazima gharama tafakari
Hilo ndilo uliloamka nalo, ULAANIWE
kwa akili hizi, unavyojibu vizuri km ungeweza jibu vizuri uko nyuma darasana, akya mama ungekuwa proffesa, hivi kwa nini akili nyingi na nzuri huja ukubwani?
Bro hujawah kula beki3. Hizo ni free p , we ni kucheza na muda tu
Inategemea na shuguli zako mkuuMuda Ni wa gharama pia....!