Bildrago Carlos teja...nampenda sana huyu mzeeSuala LA pombe mkuu acha kabisa kuacha ni next to impocibble Mimi nimeamua tu kuishi nayo kama corona na ninajitahidi sana nisiingie kwenye starehe nyingine maana nimeona ugumu wa kutoka kwenye pombe
Maji ndo dawa ya pombeIla mara nyingi nikinywa maji mengi, huwa sina hamu sana ya pombe kuliko kama sijanywa maji kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Kuna mshikaji wangu mmoja alifanyaga yote hayo... Akaacha kabisa.
Hata tukikutana company hagusi kabisa.. Nikamuheshimu kinoma hadi nikaanza kumuonea wivu.
Siku ya Siku nikamkuta kalewa..weekend saa sita mchana.
Nilicheka kisen...
Wazima jamani?
Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.
Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole mkuu mimi hata saizi ni lewejee sipiganiii kwanza mwili ume pungua,kweliiiPombe ilichonifanya tarehe 18 juzi nafikiria kuacha nmepoteza simu nmeanza kupigana wakati Mimi sio mgomvi nafikiria kuacha imenitia hasara sana
Mkuu nmepigana Vibaya mno na wanakijiji Mungu aliniokoa pale ningekuwa marehemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole mkuu mimi hata saizi ni lewejee sipiganiii kwanza mwili ume pungua,kweliii
Mimi kuna siku nilijaribu kuacha pombe nikafariki dunia. Asante!Wazima jamani?
Katika maisha kuna mambo mbalimbali yanayompa mwanadamu burudani. Mambo hayo Ni Kama pombe, music, soccer, wanawake (madem), story n.k. Ila usiombe kuzoea pombe iwe kama kiburudisho chako inatesa sana utaacha Kama huna pesa lakini ukipata lazima ukazimue kidogo.
Ila natamani kuacha make naona inanikera sana. Sema stress za maisha zinanifanya niendelee kulewa tu. Nakumbuka Kuna siku niliishiwa nikajaribu kunywa Gongo aisee nilishindwa kabisaa. Nikasema ngoja nitafute pesa ili niendelee kupiga Konyagi na K Vant
kajitutumuaaa akachemka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mshikaji wangu mmoja alifanyaga yote hayo... Akaacha kabisa.
Hata tukikutana company hagusi kabisa.. Nikamuheshimu kinoma hadi nikaanza kumuonea wivu.
Siku ya Siku nikamkuta kalewa..weekend saa sita mchana.
Nilicheka kisen...
Fundi sana yule mshua anaongea kwa dharau Fulani kama hatakiBildrago Carlos teja...nampenda sana huyu mzee
Mpaka braza angu anamuiga ongea yake[emoji28]
Hahahaha mkuu nilisha pigana,mpaka nikapata demu usiku huoo huooo....Mkuu nmepigana Vibaya mno na wanakijiji Mungu aliniokoa pale ningekuwa marehemu
JF ya akina Magonjwa Mtambuka na USSR ina ugumu gani kuacha? Ujinga ujinga tu.Kuacha jf ndo mtihani mgumu.
Au wenzangu mnasemaje?
Afu unaambiwa in reality hatumiii kilevi chochote [emoji849]Fundi sana yule mshua anaongea kwa dharau Fulani kama hataki