Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

Ujerumani na Uingereza ni tajiri na hizi nchi kama zilivyo nyingi za Ulaya zilijengwa na Wafalme (Monarch) ambao walikuwa hawabadilishwi haya mambo ya kubadilisha vyama wameanza siku hizi baada ya kuwa nchi tajiri tayari lkn wakati wako ngazi ya maendeleo kama yetu kulikuwa na Wafalme tu ambao walikuwa wana absolute power na walikuwa hawabadilishwi!

Na nchi za Asia zote ambazo zimeendelea hivi karibuni zimeiga Ulaya nazo zote zimejengwa na Chama kimoja hakuna hata moja ambayo ni tajiri leo iliyowahi kubadilisha Chama si Japani, Korea Kusini wala Singapore na wale ambao wanabadilisha vyama kila siku kama India, Pakistani, Sri Lanka Bangladeshi ni masikini!
Nafikiri kwa kuwa hivyo vyama vyao vinawapa wananchi sababu ya kuendelea kuviacha madarakani.
 
mleta uzi huu ni mtu mfu kimawazo; na mawazo yake ni ya wafu: Tulia kwanza tuindoe sisiemu ya baba zako na tuweke chama kipya kabisaaa ikulu: mimi niseme tu kwamba watanzania wasitegemee kuinuka kiuchumu au kuwa na uchumi wa kati kama sisiem bado iko madarakan: ccm iko kuwafanya watoto wa watawala kuwa matajiri mfano: utajiri wa riziwan alionao kwa sasa: sasa jiulize umri wa China kuwa huru na wetu watz tofauti yake ni miaka 16 tu, yaan China mwaka 1945 na tz 1961; tunawakaribia kiuchumi japo kweli China ni monoparty? kwa nini sisiem imeshindwa hata tu kujenga shule za msingi na secondary nchin kote kwa mda wote iliokaa marakani? imeshindwa kabisa hata kupeleka ememe kijijin; eti hata wakaaji wa mwanza nawenyewe wanashida ya maji wakati wanavuta pumzi toka ziwa victoria huku wamisri walio umbali wa mile rukuki toka wanatumia maji ya ziwa victoria kuoshea mbwa zao mpaka mengine wanakosa pa kuyaweka: ifike wanaccm muone aibu hata kuleta maada kama za kijinga na ufukara wa kufikiri: laiti ungefikiri vizuri usinge leta maada kama hii ndungu yangu: Geitavna Kahama zote zinaelea hewana kwa sasa kutokana na mgodi wa dhahabu wa GGM: je watanzania au wanageita watawezakulifukia hilo shimo? na je ni faida gani wanapata? je wananyamhobgo ni nani atawalipa kutokana na madhara waliyoyapata kutoka mgodi wa nyamhongo? kilichotokea ni wazungu na sisiem kujichukulia dhahabu na kuwakanyaga chini watz huku mashamba yao yameharibiwa kiasi kwamba hata gugu haliwezi kuota achilia mbali mazao ya chakula: je huioni hasara hii ya kudumu inayowapata watz pamoja wajukuu watakaoishi miaka 200 ijayo; halafu unawakebehi watanzania kuwa kubadili chama hakutaleta maendeleo; hizi ni akili za mbwa koko kabisa. kura ni kwa EL tu wakinamapdrock na makomeo wanabwatabwata bure tu,
 
Unataka utafiti gani? Nimekwambia hakuna nchi iliyoendelea ambayo ilibadilisha Chama wakati wa kuendelea kwake na mifano nimekupa sasa kama unapinga unaweza pia kuweka mifano badlaya tu kusema wacha kuongea sijui nini...

si kweli, hoja yako ni mfu kabisa {weak analysis}.VIPI KUHUSU U.S.A, au ndo propaganda mpya dhidi ya zile za kusema "UPINZANI UNALETA VITA"

mhhh! ndg tz ya leo ujipange sana kuwahadaa, si ile ya enz za mwlm.
 
Vipi Marekani, Uingereza na Ujerumani? . Narrow minded.

yap.jamaa kakurupushwa na wazo la kuipamba ccm kunaweza mzalia sadaka ya ubunge wa kuteuliwa.wamarekani wajermani waingereza hata wafaransa na waisraeli hufanya hivi ili kuleta chachu ya uwajibikaji.
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Kichwa Kikubwa ila kimejaa Matikiti tu...
 
mleta uzi huu ni mtu mfu kimawazo; na mawazo yake ni ya wafu: Tulia kwanza tuindoe sisiemu ya baba zako na tuweke chama kipya kabisaaa ikulu: mimi niseme tu kwamba watanzania wasitegemee kuinuka kiuchumu au kuwa na uchumi wa kati kama sisiem bado iko madarakan: ccm iko kuwafanya watoto wa watawala kuwa matajiri mfano: utajiri wa riziwan alionao kwa sasa: sasa jiulize umri wa China kuwa huru na wetu watz tofauti yake ni miaka 16 tu, yaan China mwaka 1945 na tz 1961; tunawakaribia kiuchumi japo kweli China ni monoparty? kwa nini sisiem imeshindwa hata tu kujenga shule za msingi na secondary nchin kote kwa mda wote iliokaa marakani? imeshindwa kabisa hata kupeleka ememe kijijin; eti hata wakaaji wa mwanza nawenyewe wanashida ya maji wakati wanavuta pumzi toka ziwa victoria huku wamisri walio umbali wa mile rukuki toka wanatumia maji ya ziwa victoria kuoshea mbwa zao mpaka mengine wanakosa pa kuyaweka: ifike wanaccm muone aibu hata kuleta maada kama za kijinga na ufukara wa kufikiri: laiti ungefikiri vizuri usinge leta maada kama hii ndungu yangu: Geita na Kahama zote zinaelea hewana kwa sasa kutokana na shimo kubwa mno la mgodi wa dhahabu wa GGM: je watanzania au wanageita wataweza kulifukia hilo shimo? na je ni faida gani wanapata? je wananyamhobgo ni nani atawalipa kutokana na madhara waliyoyapata kutokana na mgodi wa nyamhongo? kilichotokea ni wazungu na sisiem kujichukulia dhahabu na kuwakanyaga chini watz huku mashamba yao yameharibiwa kiasi kwamba hata gugu haliwezi kuota achilia mbali mazao ya chakula: je huioni hasara hii ya kudumu inayowapata watz pamoja na wajukuu watakaoishi miaka 200 ijayo; halafu unawakebehi watanzania kuwa kubadili chama hakutaleta maendeleo; hizi ni akili za mbwa koko kabisa. kura ni kwa EL tu wakinamapadrock na makomeo wanabwatabwata bure tu,
 
Nonsense, fuatilia kinachoendelea Ghana. Lakini vyovyote vile CCM iondoke kwanza mengine baadae.
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!
nimekuelewa sana homa yako,lakini ngoja nikwambie kwamba tanzania ni maendeleo tu hatuwezi kupata lakini haya hapa chini yanawezekana
1) wizi na ufisdi kwa sababu ccm imejaa wezi na mafisadi tena wakiiba wanaambiwa rudisheni yaishe
2) kutengeneza mikanda feki ya ya ugaidi
3) kudanganya wananchi na kuwafanya kuwa maskini zaidi.
4) kuingia mikataba uchwala ili wenye chama wapate 10%
5) kuwanyang'anya na kuwapiga raia kutoka maeneo yenye rasilimali

kwa hiyo wewe pamoja na genge lako lazima muondoke ndio ttutapiaga hatua ya maendeleo

upo hapo? kama una jingine sema
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

What is your point?
Haya jibu la kijinga, tumechoka, tunataka kubadiri tu, tuone wezi wengine wakoje.
 
Ujerumani na Uingereza ni tajiri na hizi nchi kama zilivyo nyingi za Ulaya zilijengwa na Wafalme (Monarch) ambao walikuwa hawabadilishwi haya mambo ya kubadilisha vyama wameanza siku hizi baada ya kuwa nchi tajiri tayari lkn wakati wako ngazi ya maendeleo kama yetu kulikuwa na Wafalme tu ambao walikuwa wana absolute power na walikuwa hawabadilishwi!

Na nchi za Asia zote ambazo zimeendelea hivi karibuni zimeiga Ulaya nazo zote zimejengwa na Chama kimoja hakuna hata moja ambayo ni tajiri leo iliyowahi kubadilisha Chama si Japani, Korea Kusini wala Singapore na wale ambao wanabadilisha vyama kila siku kama India, Pakistani, Sri Lanka Bangladeshi ni masikini!
[/B
[/QUOTE
Mkuu, hao wafalme hawakuwa na EPA, hawakuwa na kabogo, hahakuwa na Richmond, hawkusafirisha wanyama wazima na walokufa kuwapeleka nchi za nje, hawakuuza lasilimali za nchi zao kwa mikataba ya kipuuzi kama ccm ifanyavyo. Ccm must go! labda mtajifunza
 
Nchi nyingi zilizoendelea Africa zilipigwa kwanza wenyewe kwa wenyewe ,machafuko yalivyopoa heshima ilijitokeza

"Nitawachinja ccm bila huruma "
 
Unataka utafiti gani? Nimekwambia hakuna nchi iliyoendelea ambayo ilibadilisha Chama wakati wa kuendelea kwake na mifano nimekupa sasa kama unapinga unaweza pia kuweka mifano badlaya tu kusema wacha kuongea sijui nini...

Kelele za mfamaji hizo. Kubali kuwa ccm hatuwataki tena madarakani, period. Mifano ya nchi gani ilifanya nini si muhimu kwetu kwa sasa. The most important hapa ni ninyi kuondoka madarakani, haijalishi nani ataingia badala yenu.
 
Kwahiyo jamaa ushauri wako ni nini au wamekutuma uje kutudanganya tuhamie ccm wakati. Ccm watu ndio wanahama kila siku wanao hama ccm unajua wameona nini
 
for the first time toka niingie JF naomba kukuambia kua hukujiandaa kuleta mada,unaweza kuiita kenya maskini ???like seriously ??ur kidding us tanzania tumefika ata nusu ya maendeleo ya kenya ?????yan hakika kwa sera hizo CCM mmekwisha ....ok tukikuuliza miaka 50 ya ccm imetuletea nini unaweza kutuambia ?????cz cjaamini kua unaweza kufikiri kwa kiasi kidogo hivo ndugu...plz futa tu kauli yako cz its nonsense.
 
Nisome vizuri tena kama ukipenda nimesema hakuna nchi iliyoendelea leo hii ambayo iliwahi kubadilisha Chama, sasa Kenya ni nchi iliyoendelea?
ni kweli ili kuendelea you need some kind of stability and continuity. hata hivyo statement yako sio kweli kwa kila situation. inafika mahali watu wanataka mabadiliko ili kuweza kuendelea. october watanzania wataamua kama ccm iendelee au vipi. hatari ni kwamba upinzani wanapakaza uongo mwingi na kutaka mabadiliko ili wao waingie hata kwa nguvu ya shetani.
 
Mwandishi ni kada ws ccm aliyeanza kupatwa na sonoma dhidi ya chama chake.Usidanganye wstu hapa nchi tajiri duniani zipo G5

Kuna USA,UK,Ujerumani,Ufaransa na Italy
Ndio wanopsnga sera za uchumi ili G20(15 the rest) , wafuate niambie habari za International institutions kama GATT,ILO,WHO wanaoziongoza ni akina nani?

Ccm unayojaribu kupigia upatu hapa,imeanza kuambiwa na wapinzani kuwa hali si nzuri tangu 1995 kumebadilisha nini?
Rushwa imeisha?, matumizi ya anasa yamekwisha?

Mfano mzuri tu ni Katiba ya Warioba ccm imeikataa,kisa inawabana na kuondoa mianya ya rushwa!
Leo uwadanganye watanzania?

Unapingana na wataalamu wa Maendeleo ya jamii na wa Uchumi juu umuhimu wa utawala wa mfumo wa vyama vingi tukueleweje?

Ukuu wa Wilaya hauombwi hivi

TE=Barbarosa;13593287]Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!
[/QUOTE]
 
Kwanza ni kashifa kuifananisha india na tanzania jamaa hapo umekulupuka kajipange sio kila mameno unayo sikia mtaani uwe unatuletea hapa
 
Back
Top Bottom