Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

India,Kenya ni masikin kama Tanzania hii ya ccm? Watanzania wameamua ccm itoke hakuna namna...
 
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana... kwanza kabisa ni vizuri urudi darasan ukasome.. tena usijitese kusoma historia ya mataifa mengine maana inaonekana ubongo wako ni 1KB. Kasome democracy, uifahamu vyema na ufahamu umuhimu wake....
waliotuletea na kutushinikiza kuifanya nchi yetu iwe ya kidemokrasia wao wanapractice na wanazidi kusonga mbele, sisi kwasababu ya watu wachache wenye akil narrow kama za kwako ndio mnatukwamishia maendeleo....NAAMINI KATIKA MABADILIKO..

Ni wapi nimepinga Demokrasia ktk maandishi yangu? Hata unaelewa maana ya demokrasia? Kwani hizo nchi zinazoongozwa na Chama kile kile siku zote hazina Demokrasia? Japan haina demokrasia? Malaysia haina demokrasia, Korea Kusini haina demokrasia?

Nilichosema ni kwamba maendeleo ndani ya TanZania yataletwa na CCM tu na si vinginevyo vyama viendelee kuwepo kama sasa hivi na viwe na nguvu hali itakayopelekea CCM kujirudi na kuchagua Kiongozi makini kama walivyofanya sasa hivi nje ya hapo hakuna kitu!

Na sababu kubwa ni moja tu! CCM ni taasisi na siyo mali ya mtu sasa hili swala ni muhimu sana leo hii ukawa tuseme wakashinda uchaguzi ukawa ni mali ya nani? Ni fisadi Lowasa na genge lake, ni Mbowe na Baba Mkwe wake au ni nani?
Tutawaamini vipi ukawa kama hawataleta utawala wa kama wa Museveni wa kurithishana familia? Ni kwanini Slaa ameondoka au tuseme amejitenga na ukawa/chadema?

Sasa haya maswali hakuna mwenye majibu na ndio maana naamini CCM kwa maana naijua na ninajua kuna mambo hawawezi kuyafanya, Kikwete aliongoza sasa anaenda na hana madaraka tena atakuja Magufuli na yeye hivyo hivyo ila ukawa siwajui na sijui watafanya nini hivyo kwangu niko kwenye kuiboresha CCM ambayo naijua!
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Bora kuwa mbwa koko kuliko kuwa na mawazo kama haya!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hakuna nchi iliyoendelea kwa chama kimoja kushika dola tokea uhuru

Ziko nyingi na kwanza zote zilizoendelea na nimeshazitaja nazirudia Korea Kusini, Ujapani (ingawaje haitawaliwa lkn inaongozwa na Chama kimoja siku zote), Singapore, Taiwani, Malaysia n.k
 
  • Thanks
Reactions: mge
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!
Duh aseee very far
 
upotoshaji huo.marekani ,ufaransa ,uingereza na kenya zimebadili chama na ni matajiri wa kutishaaaa
 
KWELI WACHA LOWASSA AKABORESHE ELIMU. TATIZO ALILONALO HUYU MTU NI ELIMU TU BASI. Barbarosa SUBIRI MAMA DAWA YAKO NI LOWASA NA WW UTAKUWA NA ELIMU NZURI TU WALA USIJALI.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sitaki maendeleo ila nataka wanaoiba wakamatwe na wafungwe,mleta mmada vipi hao walioendelea bila kubadir vyama wezi walikuwa wanaachwa mtaani wanatamba? Tusaidie ndugu.Na unashauri nn ? Tuendelee kuwapa fulsa ya kuiba au ? Fafanua bhana
 
Nisome vizuri tena kama ukipenda nimesema hakuna nchi iliyoendelea leo hii ambayo iliwahi kubadilisha Chama, sasa Kenya ni nchi iliyoendelea?

Sasa sisi tunarudi Nyuma badala ya kwenda mbele Tanzania ya Jana ni bora kuliko sasa utalinganisha KENYA ya leo na ya NYAYO.

Tembea kidogo uone kwa wenzetu wacha kukaa huko Lumumba na kujidanganya
 
Yawezekana Barbarosa watu hawajakuelewa ndio maana mnapishana kauli.
Labda ungeweka hivi: Muda mfupi baada ya uhuru,Tanzania tulianza mapambano makali dhidi ya maadui watatu,umasikini,ujinga na maradhi..miaka hamsini baada ya uhuru tukajithathmini tena..tukakuta ameongezeka mwingine wa nne,ufisadi..na pengine tukijitathmini tena baada ya mingine 50 huenda tukakuta ameongezeka wa sita..

Sasa labda ungetusaidia tatizo huenda ikawa nini?
 
Last edited by a moderator:
mtoA madA unausingizI nendA kalalE ukiamkA ujE upyA
 
Kweli nimeamini kwa upande fulani kule chamani hali mbaya hakuna wa kutupiwa zigo la lawama matokeo yake kila mtu anakuja jaribu zali lake uku maana kuna habari zingine ukizisoma zilipaswa kutolewa siku nyingi zilizopita may be ata chaguzi zilizopita au ata week juzi lakini nashangaa tumechelewa kuelezwa haya na kuja kuaminishwa leo kulikoni uko?
 
acha UJINGA WEWE MTOTO!@!!!!,................NCHI HII IMEFIKIA HAPA TULIPO KWA SABABU YA MFUMO UNAOLEA WATU WALIOLALA KIFIKRA!!!

WATU WOTE WANA MAWAZO YA MGANDO WA KI-CCM, NDIO MAANA TUMESHINDWA KUPIGA HATUA!!, TUNAHITAJI WATU WANAOWEZA KUFIKIRI KWA NAMNA NYINGINE....

HAIJALISHI WANATOKA CHAMA GANI...LAKINI, ILA TUPO TAYARI KUSHIRIKIANA WATE KUIJENGA NCHI...

CCM IKIPISHA KWA MUDA HATA MIAKA 5 TU, ITAWAWEKA KUJA KI-VINGINE...NA HAPO TUTASONGA MBELE

NINAAMINI TAIFA LITASONGA KUKIWEPO USHINDANI WA KIFIKRA UNAOLETWA NA KUWAJIBISHANA NA SIO KULEA MFUMO WA KISHENZI..UNAONDESHA MAMBO KIMAZOEA....

WE NEED CHANGES...
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Napenda kutofautiana na wewe kwa hoja.kuna nchi nyingi zinabadilisha vyama na vimeendelea mfano marekani Japan uingereza na nyingine nyingi hapa Africa tuna Ghana inafanya vizuri sana.tatizo si kubadilisha tu vyama lakini uwepo na sera mbadala na zenye tija
 
Kwenye nchi nyingi zilizoendelea kulitokea REVOLUTION wakati wa enzi za viwanda kwenye nchi hizo,na baada ya hapo watawala walijitahidi kuwajibika na kuwa waoga wa kuondolewa madarakani.

Hii ndiyo falsafa inayotakiwa kufanyika hata hapa kwetu,pamoja na kumwondoa MKOLONI mweusi lazima chama kinachotaka kuingia madarakani kiwe kimeandaa sera na mikakati mizuri ya kuliondoa TAIFA hapa tulipo.Ila ni kazi kubwa yenye hatari,wengine watapoteza maisha sababu itakuja kuwagusa wenye pesa zao.

Wayforward ni kutoogopa mabadiliko.Tanzania inatakiwa kuwe na mabadiliko kisias,kielimu na kifikra ili tupate kutoka hapa.

Kuwe na uwazi na mtu anatakiwa aambiwe ukweli wewe ni mwizi toka na aondoke na siyo kwenda kuzitumia bali kumalizia siku zake jela.Kukiwa na heshima hii kila mtu atakuwa na woga,na ninauhakika vyama vitakuwa vinajiandaa ili kugombea uongozi.

Tunachohitaji ni kuondoa pango lililojaa wezi,kuweka utawala wa kisheria,hakimu kweli awe hakimu,akipokea rushwa anaondolewa fasta akamalizie siku zake lupango.Tusipoogopana rushwa itapungua kwa kiasi kikubwa.

Vingine,Makomeo hawezi kuwarusha vichura rafiki zake waliompa kula
 
Vipi Marekani, Uingereza na Ujerumani? . Narrow minded.

Hata mimi baada ya kuusoma huu uzi nilitaka kumtajia Marekani hawa hubadilisha chama kila mara,mbona ndio nchi yenye uchumi mzuri?
unataja nchi zenye uchimu mzuri unaiacha Marekani?

kachemka huyu akajipange upya.
 
Huyu jamaa..haelewi....hivyo vya anavyo ongelea ni tofauti sana na ccm..ambayo imekithiri kwa ufisadi
 
CCM WAAMBIENI WATANZANIA:-
1. TRL IKO WAPI?
2. PALE MAKAO MAKUU YA TAZARA MBONA NI BOHARI?
3. SHIRIKA LA NDEGE LIKO WAPI?
4. URAFIKI ILIYOKUWA INATOA AJIRA NYINGI KWA VIJANA IKO WAPI?
5. KIWANDA CHA MACHINE TOOLS CHA KILIMANJARO KIKOWAPI?
6. KIWANDA CHA NGOZI NA BORA JE?
7. MWATEX NA MUTEX?

CHAMA KAMA HAKIAMINI KATIKA MAPINDUZI YA VIWANDA NI CHAMA CHA HOVYO. MMETUPELEKA KATIKA UMASIKINI. YAPO MENGI TU HAYO NI CHEMBE... Barbados
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom