Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Wewe wacha kutufanya sisi wote kuwa mazuzu,Kenya imebadili chama na leo hii uchumi wa Kenya upo juu kuliko wetu Tanzania mara kibao,Kenya leo wana treni ya mwendo kasi wakati leo hii kwa kuendelea na ccm reli yetu inazidi kuporomoka na kuwa kama sehemu ya makumbusho,husitake kuwadanganya watu.lazima tuitoe ccm madarakani ili kujipatia maendeleo
 
Khebu jipe Mwenyewe jina baya kati ya haya chizi, kibendera, akili mgando, shoga ,gamba, msaka tonge,mama furan,Teja, kipanya,

Nafikiri nitachukua kipanya kwa maana hata wale panya tunaotengeza SUA wana akili klk watu wanaomini kuwa Fisadi Lowasa anaweza kuleta mabadilko yoyote TanZania!
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Nchi nzote wanazobadilisha vyama ndizo zinazoendelea mkuu kama hujui. Mfano mzuri ni nchi za Uingereza, Marekani, Ufaransa huko Ulaya. Pia majirani zetu Kenya tumeona jinsi kubadilisha vyama kunavyowasaidia kupiga hatua. Maendeleo yenyewe maana yake ni mabadiliko. Km hubadiliki ina maana huendelei. CCM mna miaka 54 madarakani, kwa nini hamjayaleta hayo maendeleo tuyaone? Matokeo yake tunapitwa na nchi ndogo km Rwanda na Kenya
 
Unataka utafiti gani? Nimekwambia hakuna nchi iliyoendelea ambayo ilibadilisha Chama wakati wa kuendelea kwake na mifano nimekupa sasa kama unapinga unaweza pia kuweka mifano badlaya tu kusema wacha kuongea sijui nini...

Wacha ujinga wako hapa kutufanya watanzania ni mambulula,mfano ni Kenya wamebadili chama kwa kuitoa KANU na sasa Kenya uchumi wao upo juu zaidi kuliko wetu
 
sina tabia ya kuchangia mada lakini kwa hii mtoa mada kachemka! kasome great depression in America uone chama kilichoshindwa kuresque uchumi kilivyoadhibiwa na wamarekani kwa kukinyima kura.
 
Watu wengi ukisikiliza maoni yao utasikia wanakwambia tunataka CCM iondoke, ukiwauliza nani aje wanakwambia yoyote tu bora tu tubadilishe ili tuendelee sasa mimi leo ninawasaidia kubadilisha Chama hakuleti maendeleo kwanza ni kinyume chake!

Hakuna nchi tajiri au iliyofanikiwa Duniani kiuchumi iliyowahi kubadilisha Chama, nchi zote zilizo tajiri leo hii zimekuwa zikiongozwa na Chama kimoja siku zote na hawajabadilisha na nitatoa Mifano, Ujapani inaongozwa na Chama kimoja kwa Miaka zaidi ya 50 na ndicho kilichoijenga Ujapani, Korea Kusini inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Korea, Uchina inaongozwa na Chama Kimoja na ndicho kilichojenga Uchina, Taiwani Chama Kimoja, hata Malaysia inaoongozwa na chama kile kile tangu Uhuru hawajawahi kubadilisha na ndicho kilicholeta maendeleo Malaysia!

Afrika Kusini iliongozwa na Chama Kimoja cha National Party kuanzia 1948 mpaka 1994 na ndicho kilichojenga AK tunayokimbilia kila siku, hata hapa Afrika nchi zilizofanikiwa kama Angola, Namibia, Botswana na sasa hivi Msumbiji wanakwenda vizuri hawajawahi kubadilisha Chama!

Sasa ukiangalia nchi zenye tabia ya kubadilisha badilisha Vyama ni masikini kama India, Pakistani, Zambia, Kenya, hata nchi za Ulaya siku zinaanza kuwa na matatizo ya Kiuchumi baada ya kuanza kubadilisha badilsha vyama kumbuka Ulaya ni tajiri kwa sababu ilijengwa na Wafalme ambao walikuwa hawabadilshwi!

Hivyo mimi bado naamini kabisa kwamba kama TanZania tunaweza kutoka hapa kimaendeleo basi ni ndani ya CCM na si kwingineko waache Upinzani watumike kama vile sasa hivi kuishtua CCM ili iamke kama ilivyofanya sasa hivi kwa kujivua gamba na sasa tuko ready for take off!

Sina muda wa kusoma upuuzi wote ulioandika hapa, kwa kifupi kuanzia leo ili usipoteze tena muda wako ni kwamba......

Watanzania hatuna haja na maendeleo, wanaotaka maendeleo huwa wanahama nchi, sisi tuliobaki lengo letu mwaka huu si maendeleo bali ni kuing'oa ccm madarakani miaka 50 inawatosha.

Tumeshafanya maamuzi hapa unapoteza muda wako bure, wafikishie ujumbe huu waliokutuma. Sisi tumeshazoea shida hatuna haja na maendeleo lengo kuu ni kuifundisha adabu ccm. Tunapiga kura za chuki mwaka huu, jiandaeni kisaikolojia.
 
Soma vizuri Historia ya Marekani, isitoshe usitake kufananisha nchi za Kizungu na zetu za Kiafrika nchi za wazungu wana Historia ndefu sana usifikiri wameanzia juzi unajua Marekani ilianzishwa kwenye mwaka 1770 huko? Na unajua ni nani alianzisha Marekani? Usiwaone akina Obama ukafikiri Marekani ni ya mwaka 1970!
Ila nimetoa mfano nchi ambazo tunafanana kwamba wote tulitawaliwa, tukanyonywa n.k na zinaongozwa na chama kimoja mpaka leo hii na zimeendelea!

uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana... kwanza kabisa ni vizuri urudi darasan ukasome.. tena usijitese kusoma historia ya mataifa mengine maana inaonekana ubongo wako ni 1KB. Kasome democracy, uifahamu vyema na ufahamu umuhimu wake....
waliotuletea na kutushinikiza kuifanya nchi yetu iwe ya kidemokrasia wao wanapractice na wanazidi kusonga mbele, sisi kwasababu ya watu wachache wenye akil narrow kama za kwako ndio mnatukwamishia maendeleo....NAAMINI KATIKA MABADILIKO..
 
Toka hapa tunataka kubadilisha chama hatuna ujinga huo sasa hivi
 
urusi ya yuri andropov,contantine chernako,nikita,brezhnev,lenin na mkali stalin walikuwa wafalme! Weeeeee

Nimesema Urusi unayoijua wewe imeanzishwa kwenye 1917 kabla ya hapo kulikuwa na Himaya ya Urusi (Russian Empire- Tsar) na hiyo ndiyo iliyoweka misingi ya Urusi kuwa urusi kama nchi nyingine nyingi tu za Ulaya!
Na hata akina Stalin waliongoza na kujenga Soviet Union bila ya kubadilisha Chama! Kwa kifupi akina Putin ni watu wa Chama kile kile cha akina Stalin labda kimebadilishwa jina hilo sina uhakika lkn Chama ni kile kile!
 
Ujerumani na Uingereza ni tajiri na hizi nchi kama zilivyo nyingi za Ulaya zilijengwa na Wafalme (Monarch) ambao walikuwa hawabadilishwi haya mambo ya kubadilisha vyama wameanza siku hizi baada ya kuwa nchi tajiri tayari lkn wakati wako ngazi ya maendeleo kama yetu kulikuwa na Wafalme tu ambao walikuwa wana absolute power na walikuwa hawabadilishwi!

Na nchi za Asia zote ambazo zimeendelea hivi karibuni zimeiga Ulaya nazo zote zimejengwa na Chama kimoja hakuna hata moja ambayo ni tajiri leo iliyowahi kubadilisha Chama si Japani, Korea Kusini wala Singapore na wale ambao wanabadilisha vyama kila siku kama India, Pakistani, Sri Lanka Bangladeshi ni masikini!

Tunaitoa ccm madarakani..full stop
 
Hakuna nchi iliyoendelea kwa chama kimoja kushika dola tokea uhuru
 
Narudia tena kama nilivyowaambia pia wenzako hapo juu nimesema nchi iliyoeendelea nimetumia ,,nchi iliyoendelea" sasa Kenya ni nchi iliyoendelea?

Nenda kasuruhishe mapigano ya wana ccm kwenye uchaguzi wa kura za maoni
 
Unamaanisha tuwape CCM miaka mingine 50 ili tuendelee? Kenya tulikuwa wote sasa wameshatuacha kwa mabadiliko waliyoyafanya sisi still developing country.
 
Narudia tena! Nimesema nchi iliyoendelea [kuna tofauti kati ya nchi iliyoendelea ( huu ni wakati uliopita) na nchi Inayoendelea (huu ni wakati Uliopo) ]sasa India siyo nchi iliyoendelea!

Huna hoja
 
Nimesema Urusi unayoijua wewe imeanzishwa kwenye 1917 kabla ya hapo kulikuwa na Himaya ya Urusi (Russian Empire- Tsar) na hiyo ndiyo iliyoweka misingi ya Urusi kuwa urusi kama nchi nyingine nyingi tu za Ulaya!
Na hata akina Stalin waliongoza na kujenga Soviet Union bila ya kubadilisha Chama! Kwa kifupi akina Putin ni watu wa Chama kile kile cha akina Stalin labda kimebadilishwa jina hilo sina uhakika lkn Chama ni kile kile!
labda kimebadilishwa jina hilo sina uhakika
 
Back
Top Bottom