Tunataka vitendo. Wakati mnajipanga nao wanajipanga.Anaye fikiri ccm inawenyewe anapoteza Muda na uwenda haijuwi ccm.
Kama ccm inawenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Mikwara bubu hiiAnaye fikiri ccm inawenyewe anapoteza Muda na uwenda haijuwi ccm.
Kama ccm inawenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Umenuna? Bora akina Nape kuliko watekaji.Tunataka vitendo. Akina Nape ndo washarudi hivyo.
Hujui kituUmenuna? Bora akina nape kuliko watekaji.
...lini umetoka kifungoni (Ban) man?... welcome back.Wenyewe si ndio kina Nape na Co.
Hahahah nafikiri mama atanifikiria kwenye uspika😅...lini umetoka kifungoni (Ban) man?... welcome back.
Hujapata uwaziri wewe?
statement ya hoyo kbsa hii,, unazan familia ya nyere ina msoto kama yako ???wale wanapata zaid ya marupurup ya spika wana haja gan kuhangaika na manainch????Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Aliyemnyooshea NAPE pistol alikuwa nani kweli? Na ilikuwa lini vile?Umenuna? Bora akina Nape kuliko watekaji.
Wazalendo uchwara 😆😆😆Mwenye CCM ni mwenyekiti na CC yake. Ukishika hapo vizuri mambo mengine yote mtelezo.
Labda uzingue saaaana kiasi cha TPDF na kaunda suti (wazalendo uchwara) waanze kujiuliza kama unahatarisha nchi.